![Looking for Love ft. Mbosso](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/b5d56e0919664361ad081069368b6e83H800W800_464_464.jpg)
Looking for Love ft. Mbosso Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2025
Lyrics
Looking for Love ft. Mbosso - Darassa
...
Mapenzi yakianzia tee kazi kubwa ni kumantain
Nishatoka na dem magimeni tukaja kumwagana mikocheni
Nikalipeat again and again and again and again and again
Hakuna Nilichogain zaid ya pain
Eeeeeh aaaah sa si nkae ntulie
Nimeiweka rehani roho yangu mimiii
Penzi ni mitihani kila siku mimiiii
Itume love is working of matching
Have been paying for something like this
Waiting wait sana, makes so many wishes
Usiku na mchana makes so many wishes
Some people tell me that is not exist
Unaona Ndoto za m-Chana Vp, kunywa maji kwanza pumzika kwa kiti na uvute pumzi that’s love does not exist
Nimeenda west Africa I’m looking for love they tell me love don’t live here
I have been to South and North desper for love napishana na wapita njia
East, central, Afrika wapi kuna love kila nnayemulizia
Across around the world search for the love they tell me love don’t live here
Niseme niniiii
Niseme Sina bahati ama mambo hayajanyooka
Nnayemtaka simpati Labda Tatizo ni nyota
Kama usela uselaaa
Nipumguze usela maana mapenzi na usela ni kutia chumvi kwenye pela
Usela uselaa nipinguze usela maana mapenzi na usela ni kutia chumvi kwenye pela
Instrument
Kutafuta pesa sishindwi kwa njia zote hustle nazijua Ila mapenzi ndo yanayonizuzua na ikipanda kichwani nalizingua sana nakunywa pombe kali ndani maini naungua navuta sigara nachoma kifua yote mapenzi ndo yanayonisumbua Sanaa
Ooh mapenzi kilio nenda waulize wenzio ni mdudu wa sikio akikung’ata husikii la yeyote
Ooh ooh ooh kilio nenda waulize wenzio ni mdudu wa sikio akikung’ata husikii la yoyote
Nimeenda west Africa am looking for love….
Chorus