![News ft. Marioo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/18/7ed01d5611eb43b680fc8b4ad5dc6834_464_464.jpg)
News ft. Marioo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Darassa feat Marioo - NEWS (Swahili Lyric)
Intro
Wanangu Dar es Salaam ningongee vibe Eh? Oya oyaa oyaaah
Nairobi vipi form ni gani? Hakuna tu chakusema, nipitapita tumi na zakwangu,
nikutafuta hela tu Baba angu
Banyarwanda mpaka baganda Burundi na Congo Bonjour? Bonjour
Komasavaaa Okay okay oh right
Verse 1
Habari za ndani na kimataifa, Maisha michezo na Burudani Halooo...
Habari za ndani na kimataifa, Maisha michezo na Burudani
Ikiisha siku imekwisha No Repeat No Rewind
Unamtaka Huddah ama Kajala? Go Fight
Dar Es Salaam imekucha ukilala Goodnight
Ajali ajali anaacha barabara PUUH Boombastick
Na Kumbe Kenge upo kwenye msafala huu Duu Good Luck
Watu wanadandia magari, wapate safari kujivinjari
We unadandia hatari, kifo cha Mende migulu chali
Sura wamezificha, mpigaji kachomesha picha
Sialikuaga anabisha, kama anatoka na Monalisa
Dada Eminado, Jana kashushushwa na Prado
Kumbe watu wanakula chabo
Kwa mumewe imekuwa Trouble
Chorus
Habari za ndani na kimataifa, Maisha michezo na Burudani
Habari za ndani na kimataifa, Maisha michezo na Burudani
Verse 2
Unataka tranding ukae number one
Ndio upake mkate cologate
Mambo ni mengi Yaani very funny
Kichwa cha habari kwenye magazeti
Vile bwana pitapita nikajikuta nipo kwenye page za Udaku Eeeh
Mtu kafanya upumbavu, wamemuogesha maneno machafu Eeeh
Tutarudi punde si punde tupate maneno ya wadhamini Eeeh
Kuna story mujini, Fashion kidume katinga bikini Tobaaa
Okay kama una sorse nipigie give a post
Kabla sijafunga mapoti maana bado nna vitu hot hot
Kwenye line ya kwanza Hallo: sina muda story short
Wananiita Zaza Zizi Zuzu saa mbovu wa kibanda cha Moshi
Jana Nimemuona kijeba, kachomeka magongo ya ngongoti
Chorus
Habari za ndani na kimataifa, Maisha michezo na Burudani
Habari za ndani na kimataifa, Maisha michezo na Burudani
Wanangu Dar Es Salaam nigongee vibe Eeh Oyah oyaa Oyaaa
Na Mdundo wa T Touch Engineer fundi Makaravati
THE END
(c)2024 CMG.All Rights Reserved.