![NIKISHIKA MIC](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/F1/DB/rBEeMVxPAiqAJ7g9AAEeftI4UHg680.jpg)
NIKISHIKA MIC Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
NIKISHIKA MIC - Wakadinali
...
Nikoshika mic
Nikishika mic, yeah
Nikishika mic
ninikishika mic
(We made it)
Me ndo the new tupac aka mr makavela
Vile me hudowork me pekee ndo naweza penya
Ona wana henya basi si uketi ujue ni nani
Nikichana nina fanya vigeti akae elani
Whatchu gon do when they come for you hawa majama ni macanibal
basi stay off kwa syllable
Die off ka senegal nikikuja tunakuchuja fuck off ka khali jones na ni terrible