OHH LORD Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
Intro
Hehehe, (wowo), Wakadinali
Hahaha, Scar (wo), haha
Verse
Ah misiwezi nego bei (zi), I remember when they made me wait
Nipe ndimu nkupe lemonade, 'cause imma reign again
R.I.P to Bob Marley I had to reggae let ah
Hizi ni days za Sodom, wanakuchorea kama base ya condom
Ishafika mahali watu wanageuza kondoo
Na tabia zime fyatu kama ngeus wa Congo
Hii ni ya ma vijana hujichocha kupigana
Verse
Niko busy kama kawa, kama kocha wa bavana
Bavana anapiga tizi na madawa kama jaba
Na ganja ukileta uwizi hapa brother utapata ma mbata
Ita hata NACADA wajue nataka shadda sai
Sinanga ngata lakini naendeshanga mbaka Nai
Nakuacha matau ukishangaa vile nimepanda
Nakusamba mapanga alafu ninakuacha matanga
Verse
Thug face man I frеak 'em out
Corrupt race mi ni mickey mousе ah
Flow ni ngori watashika mouth
Too many bitches that we gotta kick some bitches out ah
Verse
What am I doing? (doing)
What am I doing? (doing)
Ma mama told me I'm always gon do it
(Do it)
Nipende adui eeh yaa
Wacha nikuwe (kuwe)
Wacha nikuwe (kuwe)
Ni wakadinali ndo sasa wa cool (cool)
Mbaka nikufe mbaka nikufe
Chorus
I'm hoping mafala wazozi
Ohh Lord ohh, ohh Lord
Utamwaga machozi
Nairobi Kampala na jozi
Ohh Lord ohh, ohh Lord
Nachenga kandanda za Özil
Narungi changanya na kodi
Utamwaga machozi ohh Lord
Chorus
I'm hoping mafala wazozi
Ohh Lord ohh, ohh Lord
Utamwaga machozi
Nairobi Kampala na jozi
Ohh Lord
Verse
Mi ni mafurize niita Mario Balotelli
Askari mkamba bado pedi, mi ni mkali kweli
Naskio hata Kiganjo mi tari training
Skisu za g bag, ndani daily ndo mana
Nimejipin sababu kubeba hi rag kisu
Ktupima, zangu ni mistari na vinarelax
Issue si jina, bima mi tu na akina hilux
Isuzu bima, suzuki iksukadike Japan maybe Uchina
Verse
Watu huniita kule Canada Toronto tyfoon
Earthquake plus jovio juu, us drake plus ovo crew
Kweli ponta oreo ya crew, ndio mimi
Munga hold your horse ndio afunzwe roadi of truth
Verse
Ndio msipotee, ka ile stuff ya Lokichogyo tu
Nyamakima mbaka Odeon through, yeah
Mbona usigezu zinaniita bola hupenda nicheke
Throw back december, na na landrover defendable
Evolution hamtali kusay, zinjanthropus zikienda
Verse
Though stone age zenye tuko huskii buda focus ikieza
Belzi stage chichi ikue tutachinja shoga akileta
Teachers KUPPET sikuhuzi ni kuja, Vibes Kartel tela akaenda
Verse
Wakadinali ni mabull dogs, wengine ni gwiji puppy
Tunasamba wote as if Kenya tunacheza na Fiji rugby
Tuna, murder macreature mapreacher mavigilante
Takubidi ucool ka saa ile ya kueka baridi maji
Chorus
I'm hoping mafala wazozi
Ohh Lord ohh ohh Lord
Utamwaga machozi
Nairobi Kampala na jozi
Ohh Lord ohh ohh Lord
Nachenga kandanda za Özil
Narungi changanya na kodi
Utamwaga machozi ohh Lord
Chorus
I'm hoping mafala wazozi
Ohh Lord ohh, ohh Lord
Utamwaga machozi
Nairobi Kampala na jozi
Ohh Lord
Chorus
I'm hoping mafala wazozi
Ohh Lord ohh, ohh Lord
Utamwaga machozi
Nairobi Kampala na jozi
Ohh Lord ohh, ohh Lord
Nachenga kandanda za Özil
Narungi changanya na kodi
Utamwaga machozi ohh Lord
Outro
I'm hoping mafala wazozi
Ohh Lord ohh, ohh Lord
Utamwaga majozi
Nairobi Kampala na jozi
Ohh Lord