Haki Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Haki - Nay Wa Mitego
...
eyo a true name
haki x8
asalam alekum ndugu zangu waisilam, Amen! bwana asifiwe ndugu zangu wakristo Amen! mambo niaje eyo wanangu wa geto, wooyoo. na wapagan wote mnaamin mtaiona pepo, eyo ni wamitego tena nimerudi tena, tega sikio Nina meng yakusema, sio ccm, cuf act wala chadema .wakiwauliza nani wajibu ney amesema,
usitangaze amani pasipo kuwa na haki
penye haki amani utamalaki,
haki uinua taifa sio amani yakinafiki
jana walituona tope leo tumekuwa almasi
nawakumbusha polisi, jeshi la wananchi
wanasiasa wasifanye mkawatesa wananchi, hii nchi ni yavyama vingi na vyama vyote ni sawa chama chichote kina weza kutawala
itikadi sa vyama zisifanye tugombane, tuumizane mwisho wasiku tuuwane,
huku tunachinjana sisi wao wamekunja NNE
wako salama salimin familia zao ziko nje
hakuna vita panapokuwa na haki
hakuna amani paasipo kuwa na haki
haki x5
kila mmoja asimame mstari wa mbeleee!! kuihubili amani ili tusonge mbeleeee! aiyeleleeee!!
acha waende kwa ndege situtafika kwa basi, wapige chenga yetu magoli na pasi, unaitaka aman huku autendi haki, unaitaka pepo afu kufa autaki, sipo hapa kukuambia eti umuchague nani
kura ni siri mchague unae mwamini,
acha nihubili haki tusije poteza amani tumtafute mchawi nan
nawakumbusha,,??
hizi itikadi za siasa zisifanye tugombane, tuumizane ,mwisho wasiku tuuane,
huku tuna chinjana sisi wao wamekunja nne wapo salama salmini familia zao ziko nje,
hakuna vita panapokua na haki
hakuna amani pasipokua na haki
haki x5
kila mmoja asimame mstar wa mbeleee, kuihubili amani tusonge mbeele! aiyeleleeee!
haki x4
haki ni mizizi, haki ni shina,
amani ni matunda ya haki,
ewe mungu ninaye kwabudu,
mungu uliye hai unasikiliza nakutekeleza, wasimamie viongozi wetu, wajalie, hekima na busara, wasimamizi wetu, watende haki,
MTU yoyote, kiongozi yoyote, atakaye dhulumu haki ya mwenzie basi huyo ndo asiye penda amani ya nchi yetu,
ewe mungu unaye nisikia, mungu unaye tekeleza, kamu laani MTU huyu ,kamulaani yeye nakizazi chakke
FREE NATION
By salum musa (Tanzania)