Zaidi Yako Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Nafumbua mbooni nifumbee labda macho yananidanganya
Ama nimelewa pombe maana unapendeza kinyama
Hapa natoka na wee na kama mbaya iwe lawama
Coz I want you for myself usinikatae mama sio sawa
Baby the way you do the belly dancing
Mama nimesimama kidete fanya kama unaketi inama nichomeke ndani
Baby the way you do the belly dancing
Mama nimesimama kidete fanya kama unaketi inama nichomeke ndani
Zaidi yako wewe stakimwingine
Zaidi yako wewe ninaona wengi ila wewee
Staki mwingine Zaidi yake weweee Zaidi yako weee
Staki mwingine Zaidi yake weweee
Zaidi yako wewee Oh Oh wewe
Zaidi yako wewee Oh Oh wewe
Zaidi yako wewee Oh Oh wewe
Zaidi yako wewee Oh Oh wewe
See I like the way you smile maaaa, the way you move maa
The way you whine usione shy pandisha mizuka twende
( Now do the go go go go do the go go wine gogo
Sisima jomajo jojo sisima jomajo jojo)
( Now do the go go go go do the go go wine gogo
Sisima jomajo jojo sisima jomajo jojo)
Baby the way you do the belly dancing
Mama nimesimama kidete fanya kama unaketi inama nichomeke ndani
Baby the way you do the belly dancing
Mama nimesimama kidete fanya kama unaketi inama nichomeke ndani
Zaidi yako wewe stakimwingine
Zaidi yako wewe ninaona wengi ila wewee
Staki mwingine Zaidi yake weweee Zaidi yako weee
Zaidi yako wewee Oh Oh wewe
Zaidi yako wewee Oh Oh wewe
Zaidi yako wewee Oh Oh wewe
Zaidi yako wewee Oh Oh wewe
--- www.LRCgenerator.com ---