![Nionjeshe ft. Mtafya, Nini, Best Naso & MR LG](https://source.boomplaymusic.com/group1/M22/F4/7B/rBEezl6cwQWASp49AAB1D64LzG0762.jpg)
Nionjeshe ft. Mtafya, Nini, Best Naso & MR LG Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nionjeshe ft. Mtafya, Nini, Best Naso & MR LG - Nay Wa Mitego
...
(Mr Lg)
Ooh mamasita eeh
Mi napenda ulivyoumbika eeh
Ona umenishika eeh
Umenishona palipo chanika eeh
Baby my moja number (Number)
Chumbani na moja kanga (Kanga)
Nyoka kazama kwa pango
Chachando changanya na ganga
Ah kiuno fulani kiko bam bam
Nipe kitu tam tam zaidi ya bubble gum
Chumbani shangwe mashamsham
Nikipiga one touch tuna kam kam
Hawapendi niwe nawe nimebaini
Hawajui tumesign
Napata vitu kama wine
Baby chunga usinitoe kwenye timing
Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Nionjeshe leo
Yeah baba
Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Nionjeshe leo
Wakilia kidogo
Mapenzi nionjeshe
Watakula tembele daima
Nionjeshe
Ladha kama embe dodo
Mapenzi nionjeshe
Unavyonipaga burudani
Nionjeshe
Ongeza na mikogo
Koko baikoko, koko baikoko
Koko baikoko (Hilo miuno mama)
Koko baikoko, koko baikoko (mmh)
Koko baikoko (unaniminimize)
Koko baikoko, (heee) koko baikoko
(Sema basi tule nini honey)
Wakileta maneno hapa nimezaliwa misemo
Beiby kata kiuno imumunye kama vile hauna meno
Mama mia, panda nikishuka ng’ang’ania
Ikisimama basi ning’inia
Napenda unavyosema unaisikia
Toto ni matata Ha!
Ngoja kwanza nikugoogle
Simu yangu full charge full bundle
Shape Niger sio Bongo
Melody tamu kama refa wa Congo
Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Nionjeshe leo
Yeah baba
Mapenzi nionjeshe, nionjeshe
Nionjeshe leo
Wakilia kidogo
Mapenzi nionjeshe
Watakula tembele daima
Nionjeshe
Ladha kama embe dodo
Mapenzi nionjeshe
Unavyonipaga burudani
Nionjeshe
Ongeza na mikogo
Koko baikoko, koko baikoko
Koko baikoko (Hilo miuno mama)
Koko baikoko, koko baikoko (mmh)
Koko baikoko (unaniminimize)
Koko baikoko, (heeee) koko baikoko
(Sema basi tule nini honey)
Zungusha eeh, mwagika saga
Shusha kidogo pandisha, saga
Zungusha eeh, mwagika, saga
Shusha kidogo pandisha, saga
Anasema anaisikia, saga
Tamu ka nimeichanjia, saga
Guu la soda changanya bia, saga
Anakula mboga na ua pia, saga