![SITAFADHALI](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/8D/9D/rBEeMVv9EPGAPIMmAACvzDrIJAo721.jpg)
SITAFADHALI Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
SITAFADHALI - Wakadinali
...
chorus:
nimeroll na ki benz tamashani straight hadharani mresh ka zamani,
gwash flani venye wako sexy ma mummies nakushake stakabadhi alisay sitafathali, *2
Mkadinali mi huwanga wera tu akuna happybirthday nishai zoza 24/7 till feb 29th watajuaje Munga sina zodiac rym daily bila mass following f*ck diamond izo love song si ndio machizi watakudry dry tumerudi ka wezi wa mortorbike
ivi ndio venye mi hudunda klabu na ndenga mombasa uko chuda
swagga balaa na vidunda adi watu wa Mungu uchocha secret ni dumba
straight ma kilo finnesse watajuaje bazenga ako ndani ya nyumba
wife material my ass cheki rachet anapita na ni ??
man mtaani mi ni hoodrich
mike sonko bila handouts
nikiraukanga auskii ni uji sababu lunch ni ndogogio tu na unders ndio ujue za boychild zisharunda kwetu u target mtoto wa kike na ki gunga gang banging apa Nairo sikuizi gangland ndio ??
chorus
verse 2
nimeroll na ki benz tamashani nakiset hadharani dunga vespa na shati Mungareh, Scar na Salim kunywa pills na makali nina priscah na zari wana whisper kwa umbali ati please Scar ni carry
hizo biz ka ni funny mimi siko hio kazi ya ku breeze kanisani ukijisifu wazi wazi wanainsist kadinali keep it simple
hii ni mbogi ya kublaze adi morning ziggy ziggy
aii ...sijaitense ka kuna ngori inakua
thug face rong rende ni ya ma gorilla tu
wan take it makmende nina ??? crue
haiwez make ka kuweka mnyama pori kwa zoo
chorus