Kupenda Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2025
Lyrics
Nilibisha nilibisha
Mama alipo nambia
Ukipenda jeuri kwisha
Leo nayashuhudia
Hayapiti madakika
Simu sijampigia
Yani sili kupitisha
Sauti nisipomsikia
#CHORUS
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
#VERSE
Oneni ona, macho tukitazamana
Ubaridi homa, aibu tumezidiana
Oneni ona, macho tukitazamana
Ubaridi homa, aibu tumezidiana
Kwako kijumbe fanani
Itangazie hadhira
Chuma changu kkpo ndani
Nakinusuru madhira
Nyie wa barabarani
Waendesha katapira
Hii derby ya watani
Haina kutoka bila
#CHORUS
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
Aaaah aah kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi nauguuaa
Kama kupenda, ndo huaga hivi (Wanipanda wazimu, wanipanda)
Mi mwenzenu uchizi naugulia (Mi mwenzenu hali yangu mbaya)