
Moshi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2025
Lyrics
To my Zone, Yeeeeah
Ama take you, straight to my Zone now
I'm the Boss now, blow Some
Kiruuuuuuuuu
Wana jiuliza Mchagga, kwanini
Mchagga napendwa na pesa
Nawa ambia sababu
Mchagga, napenda pesa
Ina ni letea mali safi, na wasichana
Na mimi ni mtu wa Moshi, pombe sigara
Sikosi pombe sigara (Moshi)
Mapene na wasichana (Cash)
Sikosi pombe Sigara
Kush, mapene na wasichana (Cash)
Moshi, More cheese
Smoking, More trees
Noti, Note It, not Cheap
Roll it, Blow it, Moshi
Wana ni, Check
Niko Serena, nime washa Fegi
Kichwa ma Dread
Pembeni na mtoto, mkali Kishenzi
Mkononi, na glass ya Whisky
Kainda Tips
Naskia mziki, mzuri kwa Mbali
I puff and sipping
Mtoto anasema anapenda ninavyo
Nukia pombe na sigara
Mixer ya harufu, Vasachi na Bia
Gode toka Amsterdam
Mi na mwambia tulia, naweza Lipia
Si uko na Hustler
Hata waki angali, ni mtu wa Moshi
Popote na Washa
Wana jiuliza Mchagga, kwanini
Mchagga napendwa na Pesa
Nawa ambia sababu
Mchagga, napenda Pesa
Ina ni letea mali Safi, na Wasichana
Na mimi ni mtu wa Moshi, Pombe sigara
Sikosi pombe sigara (Moshi)
Mapene na wasichana (Cash)
Sikosi pombe sigara
Kush, mapene na wasichana (Cash)
Moshi, More cheese
Smoking, More trees
Noti, Note It, not Cheap
Roll It, Blow It, Moshi
Washa kituu, fukuza mapepo
Nili wa Show wangate Ulimi, wajazwe Upepo
Watu wa Moshi, Kaskazini, majani ya wepo
Matawi ya Langa, matawi ya Juu, mchawi Upepo
Maria, Maria, Mama wa Yesu
Utu ombee, sisi wanao, ni wakosefu
Tuna kuvuta, bila aibu, mi na Joseph
Me na kuficha, ili police, wasi niweke Central
In hale, Exhale, breath in, Breath out
High grade, Loco, mbichi, Mbichwaa
Skanka, Shasha, Malawi Gold,Indica, Sativa
Nalipa yote, buku au mia(100), Mia Khalifa
Wana jiuliza Mchagga, kwanini
Mchagga napendwa na Pesa
Nawa ambia sababu
Mchagga, napenda Pesa
Ina ni letea Mali safi, na wasichana
Na mimi ni Mtu wa Moshi, Pombe Sigara
Sikosi pombe sigara (Moshi)
Mapene na wasichana (Cash)
Sikosi pombe sigara
Kush, mapene na wasichana Cash),