
Mwanga ft. Ellisha James & Black Spear Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2025
Lyrics
Yeeeeaaaaah
Mkukiii, na K Doo
Money, Art, Nature and Goodtime, Incoperated
M.A.N.G.I
Brrrrriiiiiiiiiiirrrrrrrrr
Kass on the Beat
I'm from where they broke,to pay Attention to your Status
Nilipo Toka ni Kiza Kinene,siwezi Ogopa Mwanga
Mrembo Toka Tanga
Nilimwacha Njia Panda
Tuna Achana, tuna Rudiana
Same Pattern
I'm from where we broke,to pay Attention to your Status
Nilipotoka Kiza Kinene,siwezi Ogopa Mwanga
Mrembo Toka Tanga
Nilimwacha Njia Panda
Tuna Achana, tuna Rudiana
Same Pattern
Kindo Ngikundi, ni Eleri
Mshipi ni alligator, mtu wa
Mashati Niko useri
Nikitoka ni Upare, milimani,mpaka kwa Chief Kimweri
Na mi siogopi Mwanga, Edaru na Same na Pisi kwa Area
Careful
Tuna washa Moto, tuone Mwanga, Kwetu
Na niki taka Mtoto na ya Makanya, Ndefu
Ina ni changanya Ubongo
Nashindwaa fuata Schedule
Assalaam Alaikum
Good vibes and inshallah
I gotta be thankful, Napiga kazi na Sala
Napata Essential
Naona Mwanga, ana ona Future, ana ona Potential
Life sio Gentle, better Check y'all, Mental Health
Tulisha panda Bei, we can Talk it, Men to Me
Meant to Lead the Way
Ten to Ten
We ni Mwanga, mi Mangi
We can Go
Head to Head
I'm from where they broke, to pay Attention to your Status
Nilipo toka ni Kiza Kinene
Siwezi Ogopa Mwanga
Mrembo Toka Tanga, nilimuacha Njia Panda
Tuna achana, tuna Rudiana, Same Pattern
I'm from where we broke, to pay Attention to your Status
Nilipo Toka,Kiza Kinene
Siwezi Ogopa Mwanga
Mrembo Toka Tanga, nilimwacha Njia Panda
Tuna Achana, tuna Rudiana, Same Pattern
Mwanga ulie Gizani, mi ni Chaka nilie Nyikani
Madawa na Maganji, na sitafuti Mchawi ni nani
Mansa Musa in Egypt, One his way to Mekkah
Convoy kubwa, Dripping Money, looking Accient
Writing Hgygrolifix, my Hood and Evers
Kama Pyramid, I'm standing tall Forever
Zile za battle of Adwa, na King Menelik
Siwezi ogopa vita, I can Manage It
Tunakichapa, kama na Benefits
Alfa Omega, mwisho to Genesis
Mweusi mpaka kwa Roho, Niko na Melanin
Niko na connection, mambo ya Satellite
Sijali your Potential, sijali Chawa, sijali Parasite
Sijali, the other Side
Jeshi yangu, Ina na Njaa, Iko na Appetite
Hata kesi wakileta, hatukosi Alabi
I'm from where they broke, to pay attention to your Status
Nilipo toka ni Kiza Kinene, siwezi Ogopa,Mwanga
Mrembo Toka Tanga
Nilimuacha Njia Panda
Tunaachana, tunarudiana, same Pattern
I'm from where we broke, to pay Attention to your Status
Nilipotoka Kiza Kinene, siwezi Ogopa Mwanga
Mrembo Toka Tanga, nilimwacha Njia Panda
Tuna Achana, tuna Rudiana, Same Pattern
Kwetu ni Baridi kali, Mvua kubwa zile za Radi
Game ipo Ki Ganjani, na kuicheza sihitaji Pad
Niko na Feature ya Mangi, amini pia, mini Future Mangi
Hesabu za Uchagani, brand ya Chuga kaa ki Plan
Niki haribu, usini tafute, hewani Sipatikani
Kuni jaribu, itafanya ujute, sipokei Samahani
Kamati yangu, imekuwa too late, juu imepita Shule
Downfall Yako, inakuwa easy, juu ya hiyo Kichwa Bure
Hii mamlaka inajiweza, Siishi kwa Oda ya Mjumbe
Wa juu ni JahJah, we huna haja
Huwezi shusha touche
We ni Mwanga, nisha kuona,huwezi Rogaa
Tupo Kikosi, umekuja Alone Now, usha likorogaa
K Doo, Black Spear
Hatuwezi Fanya, ile Level ya last Year
Itabidi wame mute, tuki rap Here
Coming up, from the base,now we top Tier
Heeeeeeeeeeey
I'm from where they Broke,to pay Attention to your Status
Nilipo toka ni Kiza Kinene,siwezi, Ogopa,Mwanga
Mrembo Toka Tanga,nilimuacha Njia Panda
Tunaachana, tuna Rudiana,same Pattern
I'm from where we Broke,to pay Attention to your Status
Nilipotoka Kiza Kinene,siwezi Ogopa Mwanga
Mrembo Toka Tanga,nilimwacha Njia Panda
Tuna Achana, tuna Rudiana
Same Pattern