
Sanya Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2025
Lyrics
Twen twen husters
(hustlers)
K sape again
Kass on the Beat
Nikitoka Boma, ndio niende Sanya
Machame, Palestina,Israel Adesanya
Niko Gaza, naki washa kama Hamas
Wala Sifanani na Mafala, nime Stand Out,(ptuuu)
Hunters, Gatheres
Nilizaliwa Hustler, Mnama
Na sitaki kwa Sadala, mina Dallars
Nimetoka Lemosho, kuzi Sanya
Niweze ku afford, Mama Moja ya ki Siha
Siko Brock, Wala siwezi Chemka
Twende Serval, Kutalii taking Pictures
Zikishika/tuka make Love, kwa Villa
Bwana Miti, Nampa Tour Porini
High niko Kia,wana kagua Polisi
Na wanajua, natoka Moshi Sifichi
Na Mimi sio Tekashi, si Snitch
Mchagga napiga Mawe, mpaka Rock City
Nime zaliwa kuku Sanya, na sio siri
Sija jaliwa Kuhanya, na sio Mimi
Wa kukatishwa Tamaa, na Jamaa, ma small Thinking
Na moyo Baridi, Niko Ngare
Napiga Madili, na Wakalenji
Nai zunguka Kili, mpaka Tarakea
Natokea Kenya, Amboseli, nipo Karen
Mangi Shangali, the Second (II)
Sifi na Tai, Kijerumani Teseka
Usi ni try, niko Site, nawa Set up
Chagga Flow King, ndo na Check Out
Tuko Sanya, we Do Papers
Nafanya nacho Penda, sijui Haters
Napenda Nachofanya, ama K Dala
Nipo Sanya Juu, Kijana usi nilete Ufala
Siku wahi kuwa,Hustler Fala
Anajua Jah, Rasta Farai
Naku Sanya, mpaka watu Hawakatai
Boma Hai ku Jengwa siku Moja, Niko Hai
Sanya, (Kiruuu)
Nimekuja kuzi Sanya, (Mleu,Mleu)
Sanya, nimekuja kuwa Sanya, (Mleu,Mleu)
Sa, Sanya, nimekuja kuzi Sanya, (Kiruuu)
Sa Sanya, nimekuja kuwa Sanya, (Kiruuu).