
Kilimanjaro ft. Tunduu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2025
Lyrics
Eeh, Babaangu si Nikapita Moshi
Aah, Nilicho kiona Baba
Iyo Nyashi
Kass on the Beat
Kama Mlima
Eeh,Nika choka, aah
K pesa, unaweza, kuwapa ka story tell (Yani Story Telling)
Mtoto Mzuri, alivyobeba Mountain
Kilimanjaro
Napata Uhuru, niki Mpanda Mazeee
Kilimanjaro
Pole pole, hakuna Matata, I swear
Kilimanjaro
Mrembo Mrefu na alivyo Jaza my girl
Kilimanjaro
Big Nyash.. Kilimanjaro
Big Nyash.. Kilimanjaro
Big Nyash.. Kilimanjaro
Big, Big, Big Nyash
Kilimanjaro
Hey girl, Glad to Meet You
Am K DOO, Mangi Peaceful
Where I come From, is not an Issue
I don't have to Let you Know, your Special
Una Sura, na Mahaga
Men around Globe, wanakuja Kukusaka
U got Mulla, u got Gwalla
Ila ukiwa na Mangi, hakuna Matata
Kwako na acha, kuji Shesha
U know Nacha, Versus Nature
If you want, some Adventure
I Walk on your body, with a smile and Affection
Exotic, whole Sighting
Explosion, Volcanic
Ex notice,your body
Inafanya wanaume, watafute Dough kwa Panic
Mtoto Mzuri /alivyobeba Mountain
Kilimanjaro
Napata Uhuru / niki Mpanda Mazeee
Kilimanjaro
Pole pole / hakuna Matata/ I swear
Kilimanjaro
Mrembo Mrefu na alivyo Jaza my girl
Kilimanjaro
Big Nyash, Kilimanjaro
Big Nyash, Kilimanjaro
Big Nyash, Kilimanjaro
Big, Big, Big Nyash
Kilimanjaro
Yea man
Moshi yote iyo,ya Babu yake
Mi na shindwa kujua ni wa Marangu
Au itakuwa ni wa Mashati,Moshi, aah
Au ngoja,tuu,Tutaa
Tumuulize K DOO Tena,au una semaje Kassim
Eeeeeh, Sababu, Kuna
Kilimanjaro
Big, Big Nyashi Girl
She's a Mountain, I'm so high
She's my Kibo, mi mawenzi, I keep Climbing, new Haights
She's the peak of the show
Heat on a snow, got me feel like a God
Ame jazia hips, and she tall
Rich and she know
She's a queen of them all
Hai taki Haraka, Chonde Chonde
Inabidi kui panda, Pole Pole
Nakunywa Maji kwa sana, very Often
Tuna Songa taratibu, We don't force It
Adabu na Ukimya
Na alivyo Mrembo, ni Maajabu ya Dunia
Ana nipa Maisha, ya Dhahabu na Rupia
Na pata uhuru, kileleni Natulia
Mtoto Mzuri, alivyobeba Mountain
Kilimanjaro
Napata Uhuru, niki Mpanda Mazeee
Kilimanjaro
Pole pole, hakuna Matata, I swear
Kilimanjaro
Mrembo Mrefu na alivyo Jaza my girl
Kilimanjaro
Big Nyash, Kilimanjaro
Big Nyash,Kilimanjaro
Big Nyash, Kilimanjaro
Big, Big, Big Nyash
Kilimanjaro
Aaaaah, Kwelii
Big Nyash, Kilimanjaro
Big Nyash Kilimanjaro
Eeh, Aya Mleu Baba, tume Kuskia
Kumbe Big Nyash
Kilimanjaro
Aah, Kilimanjaro, eeh
Baba angu imebidi, umepanda huo mlima kweli
Congratulations
Big Nyash, Kilimanjaro
Big Nyash,Kilimanjaro
Big Nyash, Kilimanjaro
Big, Big, Big Nyash
Kilimanjaro.