![Sitaki](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/16/07bbb0f33b3f4b8586b837bd14d8ff86H800W800_464_464.jpg)
Sitaki Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
SITAKI LYRICS
Olaaaaa
Eyo Trone
Staki founder staki mie
Staki founder staki mie)
VERSE 1:
Leo nina story me nataka niwambie hadithi hadithi niwa simulie
Ninayo mengi me nataka msikie
Hdithi hadithi niwa simulie.....
Leo nilikua zangu mishe nime choka akaja mdada fulani anaitwa Hanifa
Yule mnae mjua mtaani kwamisifa ila alicho kisema leo
Ninashindwa ata kuadithia
Hadithi njoo, njooo..., utamu kolea
Dogo tupe hiyo stori kama imeanza kukolea
Bado na waza vishawishi vinanielemeya, nilivyo kinda na mazito aliyo nambia
siwezi
CHORUS
Eti anaipenda me
Kumbe ananitaka...
Kasema ananiwaza me,
Moyo wangu umesha kataa....
Eti anaipenda me,
Kumbe ananitaka...
Kasema ananiwaza me,
Moyo wangu umesha kataa....
Instrumental Playing
VERSE 2:
Bado nawaza yooo,
Nita yaweza wapi hayooo,
Maana umri wangu bado mdogooooh
ila kaniahidi vitu vingiyooooh,
Eti (majumba,magari).Ukikubali nitakupa.( range rover gari ) aku sitaki
Nita yawezea wapi mishangingi yaleo, nitaweza wapi hayo mambo ya video
Hadithi njoo njoo utamu kolea dogo tupe hii story kama imeanza kukolea bado
nawaza vishawishi vyanilemea..
Nilivyokinda na mazito alionambiaa siwezii (siweeezi)
CHORUS
Eti anaipenda me
Kumbe ananitaka...
Kasema ananiwaza me,
Moyo wangu umesha kataa....
Eti anaipenda me,
Kumbe ananitaka...
Kasema ananiwaza me,
(Staki founder staki mie)
(Staki founder staki mie)
(Staki founder staki mie)
(Staki founder staki mie)