![NISAPOTI](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/22/11b918e3d0744d26815bf2ba45595c33_464_464.jpg)
NISAPOTI Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2023
Lyrics
NISAPOTI - Founder TZ
...
call me founder tz onananana brother sorry moyoni Nina dugudugu nataka kwambia muite na dada sorry aje na wale wenzake wajesikie baba na mama sorry naomba munisikilize nachoongea Jana mlikua pori ndo mana sjapata muda wakuwaambia baba mama mkubali braza kubali mwanenu naweza imba yaani mziki ndo kipaji changu mi mkinikataza moyoni ntaumia nakuhusu shule msijali mambo yako shuari walai naapia si unamuona braza diamondi na yule mmakonde nae wapo wengi kama kina nani wote walianza kama mie si mnuona braza diamondi na yule mmakonde nae wapo wengi kama kina nani wote walianza kama mie baba nisapoti nisapoti mama nisapoti nisapoti kaka dada nisapoti nisapoti na wadaumnisapoti nisapoti mother father pamoja na brother please mnisikilize ninachoongea naitaji niwe muimbaji hicho ndo kipaji changu ninachotaka zaidi baraka uwe mwanga wangu mziki sio uhuni mziki sio ushubwada mzikini ni Kaz kwa Kaz ka kaz zingine mother ona najua kuchana Tena mambo ya maana takaniwe kama wale walozaga Toka Jana ma ukinikataza ntaumia naomba baraka Malengo yaweze fikia mchaka mchaka mwenda pole hajikwai mama nitapambana ili kesho nizishike dola braza diamondi na yule mmakonde nae wapo wengi kama kina nani wote walianza kama mie si mnamuona braza diamondi na yule mmakonde nae wapo wengi kama kina nani wote walianza kama mie baba nisapoti nisapoti mama nisapoti nisapoti kaka dada nisapoti nisapoti na wadaumnisapoti nisapoti nisapoti jamani nisapoti