![Mfano](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/29/2d1e774a17bb4f9a91247bfbdeff72cf_464_464.jpg)
Mfano Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Mfano - Founder TZ
...
mmmmh
kuna mtoto Fulani anaitwa zabibu mnamjua huyu,(hatumjui),
mtoto Fulani hivi mtaratibu yaani ni kweli hammjui( hatumjui )
Mda mwingi anakaa darasani akijisomea
Ukimwomba jibu hakunyimi anakwambia Tu ngojea ..,
Ni mtiifu( zabibu)
wala Hana kiburi (zabibu )
Acha wazazi niwasifu (wa zabibu)
wamempata mtoto mzuri(zabibu)
chorus
Mtoto mzuri ni yule mwenye sifa njema nyumbani
mtoto mzuri hasifiwi mabaya nyumbani
mtoto mzuri hasifiwi kwa ugomvi jamaniiii
napenda niwe kama ye naonaga nimuige nami
mfano ,tuige mfano .×4
tena ana kanuni moja ndo ninayoipenda Sana???????
hapendelei Sana mambio ya ujana, huyo huyo zabibu
zabibu ni mtoto mwenye heshima pia na ukarimu
Ndio maana shuleni anakubalika Sana na walimu,
Huwezi mkuta ovyo ovyo kwenye vikao,
mada zisokuwa na msingi watu kibao,
zabibu ooh zabibu ,napenda wake utaratibu,tumwige ooh zabibu ,ameyashinda majaribu,
chorus ,,,,
lyrics by trap._king1 on Instagram