![Zamani](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/26/8a979f1961d848e88c444dbe8fab9395_464_464.jpg)
Zamani Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Zamani - Founder TZ
...
Aah-aah mh-mh
Ilikuwaga zamani babu akanihadithia oooh
Mjukuu akaniweka chini mengi akanihusia oooh
Kwanza alianza na zamani walivyoishi akanambia oooh
Japo alitaka niyajue ya ndani kibaya akatangulia oooh
Japo kuna machache alonipa nami nikazingatia madogo
Akanisihi kamwe nisije ficha
Ni msaada wetu wa kesho
Zamani hawakuwa na pesa ila waliishi tu
Kwa misingi gani hapo ndo utajiuliza hebu ngoja tu
Hata nami sikukuwepo kwa yale maisha ya zamani
Ila ni mzee wa kale babu ndo alinambia
Huu upendo umepoa mpaka akili inachoka
Huu upendo umepoa umepoa upendo
Huu upendo umepoa majibu nakosa
Huu upendo umepoa hayaa hayaaa
Tasnia ya leo na zamani tofauti kabisa
Zamani kulikuwa cheo ila sio kila mmoja alojipandisha
(Ona) ndugu kwa ndugu twapigana
Ooh kisa pesa twauana
Zamani hawakuwa na tamaa ila leo ndio fani yetu
Nashindwa kuelewa chanzo mbona kama tumejisahau
Yani dunia imeanza mwanzo kila mmoja ana dharau
Jamani jamani (jamani) niseme tena ni tena ni usia ndo huo wa babu tieni akilini
Jamani jamani (jamani) niseme tena ni tena ni usia ndo huo wa babu tieni akilini
Zamani hawakuwa na pesa ila waliishi tu
Kwa misingi gani hapo ndo utajiuliza hebu ngoja tu
Hata nami sikukuwepo kwa yale maisha ya zamani
Ila ni mzee wa kale babu ndo aliyenambia
Huu upendo umepoa mpaka akili inachoka
Huu upendo umepoa umepoa upendo
Huu upendo umepoa majibu nakosa
Huu upendo umepoa hayaa hayaaa