![Dar Es Salaam](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/02/4df1f20266bf4f808ed2107e761ce8caH800W800_464_464.jpg)
Dar Es Salaam Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Dar Es Salaam LYRICS
Aaaa aaaaa
Eeee
Hizi zinapigwaga na Mlam tu
Am founder Tz
VERSE: 1
Oyaa
Nilikotoka nyumbani kwelifaa tushachelewa sana kula ila hatukulala na njaa Tena siwezi kuongopa
niseme nimepitia raha ila mpaka hapa nimefika Namshukuru jah..
Ooooh
Mama aliniambia mjini Kuna mambo kibao.
Sasa nimefika ndio naona maisha ya mitandao...
Watu wanaishi ki Boss na kumbe hawana hata mafao
Wadada wazuri huko IG Shepu sio zao
Kumbe Dar es Salaam aaaa Lawama
kinachofanywa ni kupambana
Roho nzuri ikizidi saaana pia lawama
Kinachofanywa ni kubanana
CHORUS
Oya hata mnipatie wembe
Mie siwezi kata tamaa
Katu katu
(Siwezi kata tamaa)
Oyaa hata mnipatie wembe
(Mi siwezi kata tamaa)
Oya weee
Katu katu
(Siwezi kata tamaa)
Instrumental Playing
VERSE:2
Tutabanana hapahapa hata obeojah anono anoe
Eeeee
Tena sinashaka am doing ok. Kajeje ni forget
mmmh
Lishawika kokokokoo kumekucha
siogopi vikwazo nimezaliwa kutafuta
nishakwakwangua ngoko Moko Moko kuzunguka
Nishakesha popo ila Sir God hakunitupa
Kumbe Dar es Salaam aaaa Lawama
kinachofanywa ni kupambana
Roho nzuri ikizidi saaana pia lawama
Kinachofanywa ni kubanana
Oya hata mnipatie wembe
Mie siwezi kata tamaa
Katu katu
Siwezi kata tamaa
Oyaa hata mnipatie wembe
Mi siwezi kata tamaa
Oya weee
Katu katu
Siwezi kata tamaa