Sina Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
SINA LYRICS
INTRO:
It's Me
Mojaaah Mmmh!
Mmmh! Mmmh!
Oh Baby! Oh Baby!
Mmmh!
VERSE 1:
Hata sibakishi Akiba ya maneno
Mi huyu na mpendaaah
Mi huyu na mgandaaah
Oooh
upendo wangu kwake hauna kikomo
Mi huyu ninavyo mpenda
Mi huyu na mgandaaah
Bridge:
Hata watu wengine nawaona vivuli
ila yeye ndo namuona vizuri
penzi zito limemshinda kuli hili
Ona umezidisha utmu umeizidi asali
Nitaweka wapi roho mwili chali
Hivyo vi kiss vyanimaliza akili Babyyyh!
Sina mwingine
CHORUS:
Sina mwingine Ninae mpenda
Ni wewe, Ni weweeeh!
Sina mwingine Ninae mpenda
Ni wewe, Ni weweeeh!
VERSE 2:
Nipelikizo ya Raha nianze Dayatiiih!
Maana mama kasema kwa huku kunenepa basi
Nimesahau majeraha nimetakata nafsi
Anipa Anipa tena haniachii nafasi
Bridge:
Hata watu wengine nawaona vivuli
ila yeye ndo namuona vizuri
penzi zito limemshinda kuli hili
Ona umezidisha utmu umeizidi asali
Nitaweka wapi roho mwili chali
Hivyo vi kiss vyanimaliza akili Babyyyh!
Sina mwingine
CHORUS:
Sina mwingine Ninae mpenda
Ni wewe, Ni weweeeh!
Sina mwingine Ninae mpenda
Ni wewe, Ni weweeeh!