Single Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Single - Mocco Genius
...
Naumizwa tu naumizwa nimeshachoka sasa
Nakifunga kitabu cha napenzi
Nafungua cha maisha eeh
Kupendana kupendana kitu gani
Bora niwe single nitapenda mwakani
Umetetereka hali ya uchumi wa mapenzi
Mana, najikaza ila inauma hivi
Kila nikiwa romantic simkidhi
Simu zangu hashiki eti busy
Wanangu nakua single
Nashinda sana vijiweni wikiend club batani
Wanangu nakua single
Siku za kazi nipo kazini sitaki tena mapenzi
Wanangu nakua single
Aah naona ujinga naona utoto yashanichosha
Yani nakua single
Asahivi ntakua busy na maisha yani mapenzi bwana
Yanini niniginie nife
Kugandaganda kama kupe
Penzi lenyewe halina ata muda eti ndo liniumizee
Leo ntalewa leoo leo ntazinywa bwana
Nishaachana na mapenzi nimewaachia vijana
Najikaza ila inauma hivi
Kila nikiwa romantic simkidhi
Simu zangu hashiki eti busy
Wanangu nakua single
Nashinda sana vijiweni wikiend club batani
Wanangu nakua single
Siku za kazi nipo kazini sitaki tena mapenzi
Wanangu nakua single
Aah naona ujinga naona utoto yashanichosha
Yani nakua single
Asahvi nitakua busy na maisha mapenzi bwanaa
Moyo yangu kwanini nikupe shidaa
NIbora kukutuliza
Tulizanaaaaa