![Mi Nawe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/10/a58c8663b4c741fa9aac2ea5eab0c757_464_464.jpg)
Mi Nawe Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mi Nawe - Mocco Genius
...
Mm
(?)
Mocco
I'm on, baby
I'm on, baby
Nimetosheka, nimeridhika nawe
I'm on, baby
I'm (?)
I'm (?)
Umeniteka, umenishika I swear
I'm on, baby
Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
Nikikutazama
Maana mzuri sana
Tena twaendana
Washanifata mi, nikawakataa
Washakufata we, ukawakataa
Mm, milele mi nawe
Mi na-
Milele mi nawe
Mi nawe
Forever mi nawe
Mi na-
Milele mi nawe
Mi nawe
Confirm
Oh yeah
Leo nakemea mapepo
Ya kutamani, tamani vihela vyao
Nakemea pepo
Ya kutamani, tamani vishepu vyao
Mara ngapi baby
Mi nalia unanibembeleza
We mwenyewe
Unalia na kubembeleza
Mi mwenyewe
Wao hawajui, watuache
Tafadhali my wangu nipunguzie utamu
Taratibu my wangu oh
Nipunguzie utamu
Washanifata mi, nikawakataa
Washakufata we, ukawakataa
Milele mi nawe
Mi na-
Milele mi nawe
Mi nawe
Mpaka kufa mi nawe
Mi na-
Oh, nawe (Mi nawe)
Oh, yeah
Confirm