![Nakupenda](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/02/512615cbb7e44cafb6ce9e828829dbb0_464_464.jpg)
Nakupenda Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Nakupenda - Mocco Genius
...
Naomba unifundishe neno mapenzi
Linanichanganya
Sayari uniamishe peke yangu mi siwezi
Nitakudanganya
Kila nikikutazama mwili unashindwa mbona
Moyo unanisimama
Nahisi raha zimezidi sana huba lako nazama
Na sitoki mazimaa
Penzi letu la moto latokota
Kama mtoto naropoka
Mwenzako kuachwa naogopa
Iyee iyoo!
Oohh ooho Oohoo
Nakupendaa
Ooh oooh Oohoo
Nakupenda
Asifiwe aliekuumba kaumba kitu maridadi
Kaumba wakunifarijii
Eti niuguliee kwanini wakati upo wakunipoza
Wakunikinga na baridi
Nilichosubiri kimekua kweli hewalla
Asante jalajalali kwakunipa zawadii
Na raha zimekithiri mi napendwa kweli mashaallah
Asante jalajalali kwakunipa zawadiii
Penzi letu la moto latokota
Kama mtoto naropoka
Mwenzako kuachwa naogopa
Iyee iyoo!
Oohh ooho Oohoo
Nakupenda
Ooh oooh Oohoo
Nakupenda