Niache Niimbe Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Niache Niimbe - Pitson
...
nilegram presida pitson sikumoja mama ntakujengea nyumba ya kifahari uishi poa mama na pesa za muziki siku moja baba ntakununulia gari la kifahari uendeshe baba na pesa za muziki oh siku moja Dada ntakulipia karo ya shule uende university na pesa za muziki