![Wanajua](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/0B/7E/rBEeMlhGpxmAR81GAADxUJGB8U4889.jpg)
Wanajua Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Wanajua - Pitson
...
oo oo oa
oo o o o
Story wanajua
wanajua
oo ouwoo oo
wamefundishwa
wanajua a
Kulenga tu x3
ouo ae
chorus:
Wanjua
Ni kulenga tu x3
Wanakujua
Nikukulenga tu x3
Solo:
Tangu wakiwa wachanga
owai
Kupelekwa kanisa na mama
owa hee
Sunday school ni
owai
Kufundishwa tamaduni
owa hee
Solo:
Wakisema memory verse
Pale mbele madhabahu
Sasa ni wahuni
Wapima kuhani
Waliosema memory verse
Pale mbele madhabahu
Sasa ni wahuni
Wapima kuhani
Kusoma
Neno la bwana na kusahau
Ni kama
Kujiona kwa kio na kusahau
backup:
unavyo kaa x3
chorus:
Wanajua
Ni kulenga tu x3
Wanakujua
Ni kukulenga tu x3
solo:
Wakiwa barabarani
Wakingoja bus
Na wakiwa korokoroni
Wakingoja judge
Na hapakosi mtu hapo kando
Kuwaeleza haya mambo
Ni kulenga tu x2
Wakiwa sokoni
Wakinunua na wakiuza
Hapakosi mhubiri
Wakuwaeleza ukweli
Wanam-dismiss ati ni conman
Anataka sadaka zao
Wamesahau
Ni sauti ya Mungu kupitia nabii
Kusoma
Neno la bwana na kusahau
Ni kama
Kujiona kwa kio na kusahau
backup:
unavyo kaa x3
chorus:
Wanajua
Ni kulenga tu x3
Wanakujua
Ni kukulenga tu x3
Solo:
Wakivaa mini sketi
Wakinyanganya wamama vibeti
Aki-play sara na beti
Akikunywa karibu kireti
Waki-stagger stagger
Wakitoa dagger
Waki-pull the trigger
ili wafanye murder
Wanajua wanachofanya
Wanajua wanakosea
Wanajua wanachofanya
Wanajua wanakosea
chorus:
Wanajua
Ni kulenga tu x3
Wanakujua
Ni kukulenga tu x3