![Sitalia](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/0B/63/rBEeNFhP55SAPCEwAABjEJetiYU939.jpg)
Sitalia Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Sitalia - Pitson
...
Sielewi kwa nini hutosheki, na wale umepotosha,naelewa kwa mini waniogopa kila time nikienda kesha,
Ndoto zangu za utotoni, ulizikanyangia,,nyumba yetu ukaivunja ukaniacha nikilia,
lakini sasa nimegutuka,vakoh zako nimeshazijua,,ndio maana nimeamua,haunipati tena
Sitalia tena nimekataa,machozi yangu huyaoni,hata ukinikaribia usoni,sitalia tena nimekataa, machozi yangu huyaoni,hata ukinijaribu hutoboi,(wewe,hutoboi X8)
Beste yangu umelia sana,utakatifu imekuwa plunder,tena sana,kila siku unakazana(aaah) kubebana na misalaba(tena sana) Usichoke usikonde usikubali akupotoshe,unaye baba anayekupenda, utatoboa
Sitalia tena nimekataa, nimeamua kabisa, machozi yangu huyaoni hata ukinikaribia usoni, Sitalia tena nimekataa ,machozi yangu huyaoni hata ukinijaribu hutoboi,(wewe,hutoboi X12)
(huto,,,boooi oooh,,,,ooooh)X2
(sitaaa,,,liaaa ooooh,,,,ooooh)X2
kwa jina lake nitasimama(aaah)
na mataifa yataniita(ita X2)
Sitalia tena nimekataa(uuuh,mmh)