![Uvumilivu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/0B/7E/rBEeMlhGpxmAR81GAADxUJGB8U4889.jpg)
Uvumilivu Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Uvumilivu - Pitson
...
Nilisikia sauti yako ikiniita mwana wangu njoo njoo
Ninakuita
Nika achana ya dunia ,
Nika okoka
Sikujua Kuna Uwezekano
uwo uwo
Chorus
Kuna uwezekano(kuna uwezekano) wa binadamu kuchoka
kuachana na Njia zako(njia zako) na kupotoka
Kuna uwezekano(kuna uwezekano) wa binadamu kuchoka
uwo
ndio maana Naomba nipeeee eee
Owuo ooohoh
Nipe uvumilivu (nipe uvumilivu)
nipe uvumilivu(iyeh iyeh nisipotoke kwa njia zako)
Nipe uvumilivu (Oooooh nipe baba nipe baba)
Nipe u vumilivu
eeeee
V2-
Nilidhani nikifikisha miaka ishirini na mbilih
nitakuwa na gari nzuri, nyumba nzuri, na pengine bibi
Nilidhani nikifungua, biashara Nairobi mjini, nitapata wateja wengi,
Nitapata faida nyingi ,
Nimebaki na alama ya mshangao akilini yeah
Kila siku kwa maombi nauliza,
mbona mimi? kuna
chorus
Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka (binadamu kuchoka)
Kuachana na njia zako na kupotoka (kupotoka)
Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka (binadamu Kama mimi kuchoka)
ndio maana Naomba nipeeee
nipe baba nipe bababaaaa
Nipe u vumilivu (baba uvumilivu Ooh yeah )
Nipe u uvumilivu (iyai iyai nisipotoke kwa njia zako )
Nipe U vumilivu (iyai iyai nisi rudi nyuma nisahau baba )
Nipe u vumilivu (oh ouwo oh oooh)
.......eh
........eh
.......eh
......eh
......eh
.......eh
........
Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka
kuachana na njia zako na kupotoka
Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka
Kama unajua nasema ukweli
Inua mikono na useme.....
Nipe uvumilivu (Wooou nipe baba uvumilivu )
Nipe uvumilivu (yeiye yeiya nipe baba uvumilivu )
Nipe uvumilivu (nipe baba nipe baba oooa )
Nipe uvumiliiivu
................
end