![Naogelea ft. Mr. Blue](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/1C/61/rBEeqFt6vE2AfBobAACdKoKeZso596.jpg)
Naogelea ft. Mr. Blue Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Naogelea ft. Mr. Blue - Chege
...
Heeei Huhuuu
Maji ya shingooo
I don't like that
Maji ya shingooo
I don't like that
Maji ya shingooo
I don't like that
Mokoo
Japo kina kirefuu
Ila penzi lina nitetea
Kwangu majiya shingo
Ila kwako ninavyo ogelea
Naogelea aahhh naogeleaa
Naogelea aahhh naogeleaa
Sitoweza kulificha penzi liko wazii
Macho yanaita me nakwita sinorita
Ni baraka na zawadi toka kwa wazaziii
Kila ukipita watu wote wanakwitaa
Wachaa ninywe vikombee
Wacha wenye wivuu wajinyongee
Wacha wenye maneno nawachongee
Mimi na wewe fainali kwenye kombe
Eh eh ehh
Kwenye maji nimezama mwenyewe
Mwenyewee
Sitaki nitolewee
Nitolewee
Yaaah
Niacheni ninogewe
Ninogewee
Eehh
Ugali kwa picha ya samaki
Tule wote me na wee
Boda boda tupande mishikakii
Tupande wote me na wee
Mawiompaka machweo tupo chumbani
Machakunaku madirishani wanakodoa
Japokina kirefuu
Ila penzi lina nitetea
Kwangu maji ya shingo
Ila kwako ninavyo ogelea
Naogelea aahhh naogeleaa
Naogelea aahhh naogeleaa
Siri ipo wazii
Hata tukienda kwa wazazii
Wamenipa radhii
Japo mtoto sina kazii
Chege sina kazi (Huuhuuu)
Sipati usingizi me nawazaa
Najua upo radhii (Huhuuuu)
Nawaza jinsi gani nitakutunzaa
Hataa ninywe vikombee
Wacha wenye wiuu wajinyongee
Wacha wenye maneno nawachongee
Mimi na wewe fainali kwenye kombee
Eh eh ehhh
Kwenye maji nimezama mwenyewe
Mwenyewee
Sitaki nitolewee
Nitolewee
Yaaah
Niacheni ninogewe
Ninogewee
Eehh
Ugali kwa picha ya samaki
Tule wote me na wee
Boda boda tupande mishikakii
Tupande wote me na wee
Usiwape nafasi wapambee
I don't like that
Huuuu
Vibopa kula nae kwa pombee
I don't like that
Huuu
Japo kina kirefuu
Ila penzi lina nitetea
Kwangu maji ya shingo
Ila kwako ninavyo ogelea
Naogelea aah Naogeleaa
Ohhh
Naogeleaa (Naogeleaaa)
Aahh naogelea
Ulaulauhuu ohlelahh ohlelahh
Ulaulauhuu ohlelahh ohlelahh
Ohlelahh ohlelahh
Ohlelahh
Ohlelahh ohlelahh
Ohlelahh
I don't like that
I don't like that
I don't like that