Wafoo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Wafoo - Chege
...
we na roho mbaya na wivu
utakuja kubanwa mbavu chunga tamaa mbaya utafanywa vibaya wafoooo×4 vijisimu simu vyenu siku hizi mtaharibikiwa ukiskia mke wa mtu msumu nyi ghetto mna maziwa nyatu nyatu, kumbuka kuna jela kuna kuchekwa na kusahaulika nyatu nyatu, usijifanye kijego ...
mi si shuki maboy pande
utasubiri sana upande kuna makuzi kutoka mwenge kafumua kigenge chake una maneno kma nj3nje watoka pemba na chakechake una sifa ya kupitiliza ujanja mwingi na mbele kiza chunga tamaa mbaya utafanywa vibaya wafooo×4 wako na wafoo wafooo×4 kuna madogo tutakuona wafoo wafooo×2 chire chire wafoo×2 chire chire tusitakiane ubaya×3