Loading...

Download
  • Genre:Afropop
  • Year of Release:2024

Lyrics

Sir God ft. D Voice & Billnass - Chege

...

halali wala hasinzii ....

haniachi peke yangu Mungu baba

wanaoniombea shari

hazinifikiii...

ananilinda Mungu baba

chege..dah yo

chupa limeamka na chai au sio

Nengaaah..

tushapitia hustle tushabeba zegee

ugali mandondo wa kwa mama chege

Right now tupo hapa tumeshajipata

hakuna mashaka ooh matata ooh matata

na kuna watu hawataki twende

Roho mbaya haijengi wanaforce wajengee

ila tuko hapa right now tupo hapa

hakuna mashaka ooh matata ooh mashaka

wanang'ang'ana ku force

kwenye njia si tupotee.

ila sir God akipanga lazima litokee

okay..okay..

Huwezi shindana na sir God

wanashindana na sir God

usishindane na sir God

kwa maana kasha bless

blessing over blessing

Huwezi shindana na sir God

wanashindana na sir God

usishindane na sir God

kwa maana kasha bless

blessing over blessing

kama unatesekaaa we toka hapa

Roho yako mbaya we toka hapa

kama unatesekaaa we toka hapa

Roho yako mbaya we toka hapa

ei Allhamdullillah walipanga ni feli lakini sipotei Mungu wangu yuhai anazidi bariki ye ndo final say

nibariki sir God..

vipesa vya kodi vi miamiambili nisitili nisivikoseee

ah nyie Mungu huyu.. so babaako

kwanza hapangiwi anafanya atakacho

eee nyie Mungu huyu sio baba ako

wanaonionea wivu sa wanakulaa kwa macho

Baraka za Mora na bimkubwa Ameen

zinazofanya na survive mjubaa..

ameen

na ukitaka tu tupishane lugha nizingue kwenye mkwanja fubaah

kitambo mi nazichanja mbuga

napoteza saa ila sipotezi muda

kazi nikubwa tushakua wakubwa achia watoto wacheze zao buga

sina wivu sina wivu sina jealous

naona watt wanaingia mbaka njia sio

sina wivu sina wivu sina jealous

waambie walipoingia watatokea sio

sina wivu sina wivu sina jealous

waambie walipoingia watatokea sio

sina wivu sina wivu sina jealous

maisha yenyewe ya kibongoo

watu hawana dogo

ukiwapa kisogoo

wanazitema njongoo

wanang'ang'ana ku force

kwenye njia si tupotee.

ila sir God akipanga lazima litokee

okay..okay..

Huwezi shindana na sir God

wanashindana na sir God

usishindane na sir God

kwa maana kasha bless

blessing over blessing

Huwezi shindana na sir God

wanashindana na sir God

usishindane na sir God

kwa maana kasha bless

blessing over blessing

kama unatesekaaa we toka hapa Roho yako mbaya we toka hapa...×2

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status