Good Bye Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Good Bye - Chege
...
Yooh! TMK you feel this one
wohwowoo wo wo wowo
wo wooh wowoh wowoh
when I'm closing my eyes, picha yako inajirudia ahh mama
na sitokusahau, kwa matusi uliyo nimwagia ah yah yah
tena mbele za waatu, bila kujali uzito wa kosa mama
bora ungenielezaa myself kama nimekosaa ah
basi baby goodbye tutaonana mungu akipenda tena ahya
Pale tutakapokutana tusiache kusalimiana aah
Sikutegemea kama siku moja utakuja nitosa ukimbilie kule kwa mwingine (wo wo woo)
Bora ungekweenda mbali kuliko ulivyo amua kufanya na mshikaji, ambaye ni mshikaji wakaribu, ambaye ni rafiki kama ndugu, ambaye anajua tulivyokuwa kama chege chigunda anakuchukua.
Alhamdulillah kwa matusi uliyonitukana aah
Alhamdulillah kwa mabaya uliyonifanyia aah
Wala sijasahau wema wote niliyokufanyia ah
Sijasahau mabaya yote uliyonitendea aah
Baby Goodbye kila kitu kina mwanzo na mwisho mamaa
Baby Goodbye hakuna mwanzo usio na mwisho mamaa
Kukupenda kote kule sikujua kama najisumbua aah
Nabaki nalalamika na moyo wangu kule kuuchoma aaah
Mpaka naimba kwa hisia basi ujue umenizingua aahyaya
Washikaji na machizi nakumbuka walivyoniambia aahya
kama mziki ni bei usifate mambo Dunia aahyaa
Kama kusema waseme nimepokonywa tonge mdomoni aahya
kwajinsi ulivyofanya sikupendi, sikutegemea kama uta-change.
Machizi wote masikani hawakupendiii, hikufanya fair japo tuli-spendiiii wo wo wowowo (sikupendiiii)
(Chorus)
Alhamdulillah kwa matusi uliyonitukana aah
Alhamdulillah kwa mabaya uliyonifanyia aah
Wala sijasahau wema wote niliyokufanyia ah
Sijasahau mabaya yote uliyonitendea aah
Baby Goodbye kila kitu kina mwanzo na mwisho mamaa
Baby Goodbye hakuna mwanzo usio na mwisho mamaa.
wo wo wo wowowowo x6
Hey you MJ record
ahahaha We got your server
Siegfeller TMK YOOH
Chege Chigunda hey yo Chigunda Chigunda
wo wo wowowowox4