![Boss ft. Rosa Ree](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/13/c53679b193de435f8a54d24a920122e2.jpeg)
Boss ft. Rosa Ree Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Boss ft. Rosa Ree - Chege
...
Yooh, goddess.
Wiki inaanza, natafuta wa kubambia
Dollar maganza, Ukiniona offer ya bia
Nimewapanga mademu, utazani natania
Ninavyojua kuhandle,, upole Ka ngamia
CHORUS
Sionge kera, wenyewe wananielewa
Ama labda nyota nlopewa,, ndo maana wananogewa.
Nidunge mpaka
kokoriko, (boss boss)
Kokoriko.
Watoto mpaka
Kokoriko (boss, boss)
Kokoriko.
Naweka mpaka
Kokoriko (boss, boss
Kokoriko
Bakora mpaka, yeeeahh
Kokoriko( boss boss), goddess
Kokoriko,
Yaaakhh!
(ROSA REE.)
Nataka baby zinapenda kujirusha
Ila hujawai onja pisi ya arusha
Ushazoea baby ni ya kupapasa
Kwetu hii ragi tunapendaga mavitaa,, okayyy
Boy you know me I give it to you,
Real good ting dat you never get before
Me a bad gal and you know dats true
Tings me I do dem a neva been good
Ati unasema we ni, top shata (eeeh)
Unataka Twende getto unilishe Bata (eeh)
Kumbe unataka we ndo ukale papa (eeh)
Ataye kuponya uchizi ni mungu bas
Ooo baby zinashoboka na iphoones
Zinakupa ati kisa una platform
Zinasnap picha ukifumba machooo
Zinaposti, zinatagi kwenye caption
Haaah.
CHORUS
chechema, Che.che.ma
Cheche kanachechema.
chechema, Che.che.ma
Cheche kanachechema.
Nikikatekenya kanachechema
Nikikachekea kanachechema