
Dar es Salaam Lyrics
- Genre:Afrofusion
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Dar es Salaam - Marioo
...
mmmh
kutoka aloooh
mjini akuna cha kuokota
ukikiona usiiname
mjini akuna cha bure
ukipewa usichukue
ogopa ogopa matapeli
hili eneo haliuzwi
usikojoe hapa kojo faini milioni!
katoto kaelfumbili bingwa wa kuhamisha otea anahamisha nn
anahamisha vyombo tukimaliza kula kula ubwabwa
katoto ka 2000 kalitaka kuuvunja otea kuuvunja nn
kuuvunja mlango ety anaogop anaogopa mende
Hii bandari salama salama salama
bandari salama salama
oooh bandari salama salama salama
Hii bandari salama salama salama
bandari salama salama salama
aah bandri salama salama salama
Dar es salaam kila babe iko single
kama tu una range rover
huko temeke kila mtu mweupe
wote kama wazungu
Dar es salaam inashape
aah mkali utavunja shingo
Dar es salaaam watoto wote wazurii
Take care
oyaa shikamooo
Marahabaaaa!
achana nayo iuo kelele
dar es salaaam eshima pesa(dar es salaam eshima pesa)
katoto(katoto) ka2000(kamefanyeje)bingwa wa kuhamisha otea anahamisha nn
anahamisha vyombo tukimaliza kula kula ubwabwa
katoto ka2000 kalitaka kuuvunja otea kuuvunja nn
kuuvunja mlango ety anaogopa anaogopa mende
hi bandari salama salama salama
bandari salama salama salama
ooh bandari salama salama salama
bandari salama salama salama
hi bandari salama salama salama
bandari salama salama salama
aah bandari salama salama salama