COMPA Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2024
Lyrics
Beat ya DEMAN!
Bitter sweet
Joh ni mfine
Baby would you
Set it, set it
nime kuja na ma goodies
Si ma keki
Vibe tunajipa
Bitter sweet anapenda joh sativa
Baby
Would you set it, set it
Nime kuja na ma goodies
Na si keki, keki
10 out of 10 anapenda tu Martel
Fun fact haezi kiss and tell
Tuko high anapenda kupretend
To be honest anataka
Ku dagger hi skeng
Whe're friends ju ni wote nima peng
Kabla uende nataka kiss bana
Niki baki nikisema, Yes Bana
Na makali iko kwenye system
Na maboyz kama wiz joh we dem
Tuki pull up wanauliza are we friends
Wana bonda tuki pull up wanagwaya
Ma 16 bars buda tuna kill them
System tebu joh keep lane
Ama switch kabla Joh u repent
Wana nisaka kwenye block kama fed
Na judge na hi pen inatoa sentence
Bitter sweet
Joh ni mfine
Baby would you
Set it, set it
nime kuja na ma goodies
Si ma keki
Vibe tunajipa
Bitter sweet anapenda joh sativa
Baby
Would you set it, set it
Nime kuja na ma goodies
Na si keki, keki
Tuna anguka nayo
Baby songa nayo
Uki katika
Nalia tu mayo
Dereva shukisha zakayo
Alipitwa na wakati niku gonga tu milango
Songa kando
Baby leta prado
Usi fumble ju ukona mpango wa kando
Nikona ma hits ju hi rap si mumble
Anguka nayo doba safi wayo
Bitter sweet
Joh ni mfine
Baby would you
Set it, set it
nime kuja na ma goodies
Si ma keki
Vibe tunajipa
Bitter sweet anapenda joh sativa
Baby
Would you set it, set it
Nime kuja na ma goodies
Na si keki, keki