FEEL SO ODD Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2024
Lyrics
Hey rick
Tumekuwa locked joh tuko gone
Kama ni haga nataka kuichecki fiti ikiwa kwenye thong
Calling my phone unajua iko off
Mara 16
Kama Franklin nili chop
Kama GTA hii shit iko odd
Tuna pick up ma call tuki S.W.A.T kama COD
Strangers or Freaks
Hii mission ni cold
Hio ganja unaipack vi wrong
Hatupendi ma slime tebu joh unroll
Hio shit ni cheap
Haina aroma strong
Nataka kitu deadly itafanya nikuwe gone
Iwe kush adi haze nta go off
Ki Travis Scott tuko Astroworld
Sound the alarm tuna go off
Nikama nikona fairy ju na feel so odd
Nafeel so odd
Muna pack vitu wrong
Nani atanimiss nikiwa gone
Shawry nipe kiss naenda warzone
Rambo kanambo
Me nadai tu mambo
Kama joh kendrick nakwacha so humble
Wapoa ni wawili wanalia tu jambo
Mmoja ni Whitney mwingine Adhiambo
Tulikuwa play offs na moja aka fumble
Life ni hustle
Si kila day kutumia muscle
Kama haina worth
Tebu weka kando
Akili ni nywele na we ulinyoa zako
Everytime muna toka very fast
Ju ye ni fala na anafeel entitled
Wana kula moto ju hawana mambo
Tumekuwa locked joh tuko gone
Kama ni haga nataka kuichecki fiti ikiwa kwenye thong
Calling my phone unajua iko off
Mara 16
Kama Franklin nili chop
Kama GTA hii shit iko odd
Tuna pick up ma call tuki S.W.A.T kama COD
Strangers or Freaks
Hii mission ni cold
Hio ganja unaipack vi wrong
Hatupendi ma slime tebu joh unroll
Hio shit ni cheap
Haina aroma strong
Nataka kitu deadly itafanya nikuwe gone
Iwe kush adi haze nta go off
Ki Travis Scott tuko Astroworld
Sound the alarm tuna go off
Nikama nikona fairy ju na feel so odd