UNRULY ft. Full G Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2024
Lyrics
Hoodwill
Aye Will this shit is fucking cold,
Alisema ye ni mchoosy
Kwenye block ni ma movie
Tuna slide waki tusi
Wanadhani sisi rookie
Wali sahau tunaishi
Vi Unruly!
Me and my G unajua tuko fully
Kama joh ni Bars, tumekam na kakumi
Boogie man kwenye dance floor na ki hoodie
Usiwai tu try unless uko na ki woody
Wacha ni talk my shit
Ye ye
Tebu pass yo spliff
Kabla ni split hi bar mara 16
Jo iko nare, iko slow, ita kick in
Ili hit kama mara 33
Ka unadai goods, me na G ndio ma pin
Nipe stems, nipe roots, colabo leta fee
Me nasaka tu doh, na penda tu ma P's
Alisema ye ni mchoosy
Kwenye block ni ma movie
Tuna slide waki tusi
Wanadhani sisi rookie
Wali sahau tunaishi
Vi Unruly!
Alisema ye ni mchoosy
Kwenye block ni ma movie
Tuna slide waki tusi
Wanadhani sisi rookie
Wali sahau tunaishi
Vi Unruly!
Kume waka sahi niko ya kumi
Kama ni fare, baby girl me situmi
Unruly tangu enzi za Rooney
Niki cheki bags
Waki smoke kitu nzuri
Call me big man buda niko on very fully
Cooking with my G, bila ku adisia mchuzi
Mpoa alinishow I love you
Nikam show I love my music
Yani design tume ivia, ivia, ivia
Hadi naeza, naeza
Naeza change my flows
Punchlines, ma blow,
Ma mbling joh ni mingi wana complain venye
Design na glow
Reppin' 3-3, boy wa east
Ushago wana niita cool kid
Cheki opp boy,
Asha kuwa moody
Hide yo girls, naeza mpatia hi woody
Lit it up, mali safi
Ime shona bila uzi
Unajiita goat,
Ju sura ina kaa ya mbuzi
Born trapping, no capping
Me si ka nyinyi wa juzi
Alisema ye ni mchoosy
Kwenye block ni ma movie
Tuna slide waki tusi
Wanadhani sisi rookie
Wali sahau tunaishi
Vi Unruly!
Alisema ye ni mchoosy
Kwenye block ni ma movie
Tuna slide waki tusi
Wanadhani sisi rookie
Wali sahau tunaishi
Vi Unruly!
Nairobi!