Anadai Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Anadai, anadai, kitu fine jo ni nice
Msupa twende home, ndo tuwake tu mangwai
Ai, nitabreak your back kama splinter
Tuki grind hizi G-bag sita
Ntakuwacha uki sita, sita
My lady nipe shot ju, siezi miss her
Tuko wraped around kwa blanketi kama Rizzler
Alisema ako patient, but body ni contagious
Huyu peng, anapenda kuwa faded
Nipe keys to the beamer, shawry asha zim zima
Daktari kuna patient anazima
Nishow ni kushow, venye huku ni kuchill
Me na Benja, husaka tu ma bills
Mahali kuna tree, kuna paper
Rastafarian ataroll nayo later
Na pack, na fold, na apply sugar coat
Kwezi lines, lazima niongeze my sauce
Ye ni myellow ka blue band
Lakini ye hujam
Uki mshika ka chupa
Ai, niko ndakaas niko tight kama durag
Ndani ya wave, me na wachanuwa
Me na come na ma combo, stingo deadly, deadly
Nite John Wick chini ya mvua
Anadai, anadai, kitu fine jo ni nice
Msupa twende home, ndo tuwake tu mangwai
Ai, nitabreak your back kama splinter
Tuki grind hizi G-bag sita
Ntakuwacha uki sita, sita
My lady nipe shot ju, siezi miss her
Tuko wraped around kwa blanketi kama Rizzler
Shawry akona fruits anafanya man-go crazy
Since when did yo peach get heavy
Kama lil maina, me na come sahi
Me namdandia kama ma three
I need a one dance, baby bruk off your back
Kama Konshensea hard drive na insert
I need a one dance, baby bruk off your back
Kama Konshensea hard drive na insert
Alisema ako patient, but body ni contagious
Huyu peng, anapenda kuwa faded
Nipe keys to the beamer, shawry asha zim zima
Daktari kuna patient anazima
Nishow ni kushow, venye huku ni kuchill
Me na Benja, husaka tu ma bills
Mahali kuna tree, kuna paper
Rastafarian ataroll nayo later
Niko impatient, flow yangu kama flu
Ni contagious
Niki rep my hood kwenye playlist
Na bado niko factory settings
Niki level up macho, mutakodoa
Msupa ni mleng, anapenda kujipodoa
Me and my boys used to trap in a Noah
Just in case kafala akibonga
Ai, dont ng'oa
Anadai, anadai, kitu fine jo ni nice
Msupa twende home, ndo tuwake tu mangwai
Ai, nitabreak your back kama splinter
Tuki grind hizi G-bag sita
Ntakuwacha uki sita, sita
My lady nipe shot ju, siezi miss her