NGORI ft. Full G & Munene Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2024
Lyrics
Chops za DEMAN!
Ngoma kali jo ni rare
So cold sick bars zina smamisha your hair
Zina shika kama gummy bear
Wanadani tuna play fair
Tuna otea
Ngoma kali jo ni rare
So cold sick bars zina smamisha your hair
Zina shika kama gummy bear
Wanadani tuna play fair
Tuna otea
No introduction uki cheki kwa captions
Ni ma lines na chorea
Una sema baby wako anaku hold for ransom
Na kumbe tuna share
Ukikam hi side hatu chezangi fair
Buda uta deal na ma bear
Ka ni kiss unajua ata nipea
Sisi ni ma G na mabarz so rare
So mikono kwenye air kama ashai kula fare
Ati sisi na ma G wanataka ku tu dare
I've been down, I've been locked
Pockets been bare
Lakini bado come up ilikuwa so rare
Niko hooked kwenye bar kama 16 dares
Nikishika hii mic wanasema jo chorea
Niko tipsy, off some Belaire
Mic check 1, 2 na uliza ka tuko air
Ka ni ngori tuko ndani
Me and my chargies
Ka ni kali jo ni rare
Ati 16 bars wanasema jo ni nani?
Ni TILA, Deman with the bears
Kani ngori jo ni nani
Twa sema nani wapi
Mpate over there
Sisi tuko juu wanasema ni my charges
Tuki wa plug vi rare
Ngoma kali jo ni rare
So cold sick bars zina smamisha your hair
Zina shika kama gummy bear
Wanadani tuna play fair
Tuna otea
Ngoma kali jo ni rare
So cold sick bars zina smamisha your hair
Zina shika kama gummy bear
Wanadani tuna play fair
Tuna otea
Ukona macho zako
Na bado useme na kuonea (ati aje)
Live kwenye news digolo ni meficha macho
So, niko double on air (ate ate)
Kwenye clarks na luku zingine custom
Drip na ma air niko juu kupepea (ati aje)
Nima hit song na drop I swear
Na ma steady bars deadly fully G Deman
Na malif doing it (ati aje)
Lazima ni zoze lazima nita chachisha
Me ndio mnisa hutoa debe make ya gyal ana tingisha
Fikisha fika bei kabla sija pandisha
Big deals upuzi huwezi pata nimeji kalisha
Me ni G-Boy niki land dem ma pre-boy
Fresh always clean boy assassin when I glee boy
Dem wan try wat me afi dan did boy
No lighter on me cause najua I'm always lit boy
Ka ni ngori tuko ndani
Me and my chargies
Ka ni kali jo ni rare
Ati 16 bars wanasema jo ni nani?
Ni TILA, Deman with the bears
Kani ngori jo ni nani
Twa sema nani wapi
Mpate over there
Sisi tuko juu wanasema ni my charges
Tuki wa plug vi rare
Ngoma kali jo ni rare
So cold sick bars zina smamisha your hair
Zina shika kama gummy bear
Wanadani tuna play fair
Tuna otea
Ngoma kali jo ni rare
So cold sick bars zina smamisha your hair
Zina shika kama gummy bear
Wanadani tuna play fair
Tuna otea
At the studio na try ku pen mirista
Sesh na safi chafu tuna pika vitu fisa
For instance, here's another one
Tushaimaliza so naifunga air tight
Cause adi leak ita chachisha
Pia ma look, zina chachisha
Whole gang fresh wana shindwa nani ndo mnisa
Geri ni, ina toka kingia
Is that the money calling
Nime msave my dear
Tuko,
Ouch here ebu shazam utatuskia
We putting in work
We umeanza this year
Hatuezi run ata upunguze hatuezi runout ideas
Na zote jo ni rare
Huwezi get around here
Ka ni ngori tuko ndani
Me and my chargies
Ka ni kali jo ni rare
Ati 16 bars wanasema jo ni nani?
Ni TILA, Deman with the bears
Kani ngori jo ni nani
Twa sema nani wapi
Mpate over there
Sisi tuko juu wanasema ni my charges
Tuki wa plug vi rare
Ngoma kali jo ni rare
So cold sick bars zina smamisha your hair
Zina shika kama gummy bear
Wanadani tuna play fair
Tuna otea
Ngoma kali jo ni rare
So cold sick bars zina smamisha your hair
Zina shika kama gummy bear
Wanadani tuna play fair
Tuna otea