aah Umetenda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
aah Umetenda - Dr. Ipyana
...
kushinda ni kawaida yetukwa jina la yesu...
(instruments)
come on... nisikie vigelegele vya watu ambao wameshinda hayee hayee hayeee aaaah...
chorus
aaah umetenda yaliyo makuu aaah umefanya yaliyo makuu (umetenda baba)
aaah umetenda yaliyo makuu aaah umefanya yaliyo makuu (umefanya)
aiweee weee umetenda baba.... ×2
nimwabudu nani sasa kama sio wewe umejithibitisha...
yale umefanya hakuna mwanadamu aweza kututosha ni mwabudu nani sasa...
nimwabudu nani sasa kama sio wewe umejithibitisha...
yale umetenda ...
yale umetenda hakuna mwanadamu aweza kututosha nimwabudu nani sasa kama sio wewe umejithibitisha ×2
(venecular language)
haya umetenda baba...
aaah umetenda yaliyo makuu aaah umefanya yaliyo makuu (aaah umetenda baba) ×2
aaah
umetenda yaliyo makuu aaaah umefanya....
wakuabudiwa...
wakuabudiwa wakuinuliwa yesu ni wewe....
miungu mingine ni kazi ya mikono... wewe ndiwe Mungu....×2
aaah umetenda aliyo makuu aaah umefanya u (umefanya.)
aiweee weee umetenda baba.... ×2