Hata Hili Litapita ft. Paul Clement Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Hata Hili Litapita ft. Paul Clement - Dr. Ipyana
...
Nitayainua macho yangu nitazame milima eeh msaada wangu utatoka wapi toka wapi eeeeh .Msaada wangu nikatika wewe usiyeacha nipote chini ya msalaba wako.
Worshipers join me and say,,,
Nitayainua macho yangu nitazame milima msaada wangu utatoka wapi msaada wangu nikatika wewe usiyeacha nipote chini ya msalaba wako ×2
Msalaba wako msalaba wako when you say hata hili litapita so we declare before you GOD kama yale yalivyopita chini ya msalaba wako hats hili litapita kama Yale yalivyopita chini ya msalaba wako