
Niko Huru (i'm free) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Niko Huru (i'm free) - Dr. Ipyana
...
Mara ya mwisho nakumbuka
dhoruba inakuja.
.baada ya hapo sikuelewa nini kimetokea
najikuta ng'ambo,
Eeey watu wameshika midomo na vichwa vyaaao wakitaharuki hukumu wa Ile dhoruba
kumbe nimekombolewa
umepita Kati ya dhoruba kubwa
ukaifukua nafsi na roho yangu
Nimekombolewa eeh×2
sasa ni huruuuu....
i'm free with my heart to worship
I'm free to sing a song redemption..
all because of youuu
this is over youu
I'm free to leave my hand in worship
I'm free to sing a song redemption
all because of youuu
this is over you×3
Niko huru nanyoosha mikono yangu
Niko huru Naimba ukombozi
niwewe umenikomboa
niwewe,,,ni wewe umenikomboa ×8
I'm free to leave my hand in worship
I'm free to sing a song redemption
all because of youuu
this is over you×3
Niko huru nanyoosha mikono yangu
Niko huru Naimba ukombozi
niwewe umenikomboa
niwewe,,,ni wewe umenikomboa ×8
I'm free to leave my hand in worship
I'm free to sing a song redemption
all because of youuu
this is over you×3