Ni Wewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Wewe - Dr. Ipyana
...
Ni wewe Bwana ni wewe oh oh
Ni wewe nami nakutukuza
Ni wewe Bwana ni wewe oh oh
Ni wewe nami nakutukuza
Asuhuhi nimeamshwa Bwana ni kwa nguvu zako, mfalme
Ni wewe nami nakutukuza
Mchana kwa shughuli zangu, Yaweh umekuwa nami