Hata hili litapita Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Hata hili litapita - Dr. Ipyana
...
Uuuuh
Si kwa wingi wa farasi
Si kwa wingi wa utajiri
Tunashinda kwa sababu ya neema ya kwako Mungu wetu
Chini ya msalaba wako ndipo ushindi wetu ulipo
Ambapo damu yako Yesu ilimwagika
Na kunitangazia ushindi
Nitayainua macho yangu nitazame, milima
Msaada wangu utatoka wapi, toka wapi yeah
Msaada wangu ni katika wewe, usiyeacha nipotee
Chini ya msalaba wako
Worshippers join me and say
Msaada wangu ni katika wewe (msaada wangu ni katika wewe)
Usiyeacha (usiyeacha nipotee)
Chini ya (chini ya msalaba wako)
Nitayainua macho yangu (nitayainua macho yangu nitazame)
Nitazame milima (milima, msaada wangu utatoka wapi)
Msaada wangu ni katika wewe (msaada wangu ni katika wewe)
Usiyeacha nipotee (usiyeacha nipotee)
Chini ya (chini ya)
Msalaba wako (msalaba wako)
Msalaba wako, msalaba wako
And you say
Hata hili litapita
So we declare before you God
(Kama yale yalivyopita)
Ooh-ooh (chini ya)
Msalaba wako, ooh (msalaba wako)
Hata hili (hata hili litapita)
Mbona yale yamepita (kama yale yalivyopita)
Chini ya msalaba wako, oooohh (chini ya, msalaba wako)
Take it in higher come on
Chini ya msalaba wako (chini ya msalaba wako)
Iko nguvu iwezeshayo (kuna msaada)
Hata hili litapita (hata hili litapita)
Kama yale (kama yale yalivyopita)
Oohh (chini ya msalaba wako)
Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na adha, shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako
Chini ya uvuli wako najisitiri (huuuu)
Mbali na adha, shida za maisha (hu hu huuu)
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako
Chini ya uvuli wako najisitiri
Mbali na adha, shida za maisha
Nifunike na pendo lako
Chini ya msalaba wako
Say
Bwana mbali (mbali na adha, shida za maisha)
Oohhh, nifunike (nifunike)
Na pendo lako (na pendo lako)
Ooohh, chini ya msalaba (chini ya msalaba wako)
Chini ya uvuli wako (najisitiri)
Ooh, mbali (mbali na adha, shida za maisha)
Bwana (nifunike)
Oooh (na pendo lako)
Eeh-eeh (chini ya msalaba wako)
Hata hili
(Hata hili litapita)
Kama yale
(Kama yale yalivyopita)
Ooh, chini ya (chini ya)
Msalaba (msalaba wako)
Kama yale (kama yale yalivyopita)
Chini ya (chini ya, msalaba wako)
Hakuna neno gumu kwako Bwana aah
(Kuna msaada)
Kama yale (kama yale yalivyopita)
Bwana chini ya (chini ya msalaba wako)
Eeeh (kuna msaada)
Hata hili litapita (hata hili litapita)
Kama yale (kama yale yalivyopita)
Oooh, chini ya (chini ya, msalaba wako)
Kweli Kuna maji mengi (kuna msaada)
Lakini Bwana (hata hili litapita)
Nakwamini (kama yale yalivyopita)
Nakuamini Bwana (chini ya, msalaba wako)
Yea, Nakuamini (kuna msaada)
Nakuamini Bwana
Wewe pekee yako Bwana (hata hili litapita)
Hakuna neno gumu (kama yale yalivyopita)
Hakuna jambo gumu Bwana
(Chini ya, msalaba wako)
Haijalishi ninapita wapi (kuna msaada)
Hata hili (hata hili litapita)
Kama yale (Kama yale yalivyopita)
Ooooh, (chini ya)
Chini ya msalaba wako (msalaba wako)
Chini ya msalaba wako (kuna msaada)
Iko nguvu iwezeshayo (hata hili litapita)
Kama yale (Kama yale yalivyopita)
Chini ya (chini ya, msalaba wako)
Msalaba (Kuna msaada)
And you say, you say, you say
Hata hili litapita (hata hili litapita)
Eeeh (kama yale yalivyopita, chini ya msalaba wako)
Come again
Kuna msaada
Hata hili litapita (hata hili litapita)
Mbona yale (Kama yale yalivyopita)
Uliyafanya yaende Bwana (chini ya, msalaba wako)
Iko nguvu iwezeshayo
Hata hili litapita
(Hata hili litapita, kama yale yalivyopita)
Eeh-eeh (chini ya msalaba wako)
Ooh ooh
Bwana nakuamini Bwana
Hakuna neno gumu kwako
Hakuna neno gumu kwako
Bwana, Bwana, Bwana
Eeeh
Wewe ni mwema Bwana
Wewe ni mwema Bwana