Fanya Kitu (Skillo) ft. Sewersydaa & Sudough Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Fanya Kitu (Skillo) ft. Sewerdaa & Sudough - Wakadinali
...
Chorus
SeWeRSYdàa
Nasikia TU kufanya kitu ata sijui ni nini
nadai kufanya kitu ata sijui ni nini *2
Skillo
Do kitu utado kama joh unajiamini
mandem anakujob huku joh ni kujiajiri *2
Verse 1
SeWeRSYdàa
ushatarmarc tafuta job lami marram hali ni mbaya omwami ashakanjwa na hata hana haya ooh mami anamangwa ukikam too soon uta go pia haraka
na Diana namdai na Hana yule ni young thug si anaeza snitch kagana mi ni pro siezi kana nishaja acha kua learner
*******
f*k hii gava na kila kitu inasimamia
ship iko harbour imejaa maharamia
ok i gat live here siezi gharamia
na niko biz pia sikuwa natarajia
chorus
*****
****
*****
Verse 2
Skillo
yooo
Unakaa na mbogi ya nini , monday to sunday unafaa kujiajiri , unakaa home zaidi ya bibi , kama sio kudingli atakupakulia nini
hmmmm tuko hour ya eleven
wonders never end unangoja manna's heaven
hujaona the world never ended tuko kwa tumbo ya well tunaelekea ninevah
mi ni veteran si kurutu nikipepeta si busu mbwembwe la siruhusu