Delinquent Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Ayy
Samahani
Mteja wa number hapatikani
Daily me husaka ganji
We uko kwa block una practice utiaji
Ayy, daily una comment una mention
Badala usake doh kwa hi tension
Ati TILA fell off lakini naingiza doo
Na si pension
Samahani
Mteja wa number hapatikani
Daily me husaka ganji
We uko kwa block una practice utiaji
Ayy, daily una comment una mention
Badala usake doh kwa hi tension
Ati he fell off laking naingiza doo
Na si pension
I'm delinquent I know
Napenda kufanya vitu wrong
Me ni mkadinali nakwacha na kovu
Msupa alisema ni mpipe adi askizie kwa kitovu
10 out of 10
Gear ni ya 5
Msupa me ni thug are you down for the ride
Me ni mdirty kama bike nita mride
Niki step outside wana stay inside
Hao ma oppa kwa fast wako fast
Wanasema wana run for the bag
Hio track iko whack
Huyo rapper hananga mabars
Kwa net wana act vi tough
Me niko kwa sea na fish a lot
Kama ni P's napenda a lot
Ki 21 savage nadai a lot
Samahani
Mteja wa number hapatikani
Daily me husaka ganji
We uko kwa block una practice utiaji
Ayy, daily una comment una mention
Badala usake doh kwa hi tension
Ati TILA fell off lakini naingiza doo
Na si pension
Samahani
Mteja wa number hapatikani
Daily me husaka ganji
We uko kwa block una practice utiaji
Ayy, daily una comment una mention
Badala usake doh kwa hi tension
Ati he fell off laking naingiza doo
Na si pension
Samahani
Mteja wa number hapatikani
Samahani
Mteja wa number hapatikani
Samahani