Nili Jam Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Juzi niliamka nika jam
Daily naiseti niki burn
Nili jam akameza fist bump
Peanut butter minapenda blue band
Juzi nili amka nika jam
Daily naiseti niki burn
Nili jam akameza fist bump
Peanut butter minapenda blue band
Sipendi muki toy around munadai story
Dem hunita woody ju na buzz kwa hio pongi
Pesa ni ya light years
Adi niki chimba shimo nita stand here
Tebu clear tuna wa circle kama sphere
Wanaanza ku clear ni makali tuna wacha in tears
Niite Shrek ju attitude ni ya Mama Mboga
Kata quarter then I turn to an Ogre
Hu rapper ni bogas bars ni za crowbar
Ukona smoke but huku utahema
Kimbisha hela usifwate tu makwela
Hu rapper ni bogas bars ni za crowbar
Ukona smoke but huku utahema
Kimbisha hela usifwate tu makwela
Juzi niliamka nika jam
Daily naiseti niki burn
Nili jam akameza fist bump
Peanut butter minapenda blue band
Juzi nili amka nika jam
Daily naiseti niki burn
Nili jam akameza fist bump
Peanut butter minapenda blue band
Nawa skip ka stone
TILA joh control
Na flow wana see wana-ng'am
Kwenye chamber ni kona kama clip 15
Ju ya ngwaii nilibambwa nikiwa 16
Gears been shifting
We've been boxed once
Moves been swifty
Told my tailor nataka suit
Occasion ni Jaba salute
Juzi niliamka nika jam
Daily naiseti niki burn
Nili jam akameza fist bump
Peanut butter minapenda blue band
Juzi nili amka nika jam
Daily naiseti niki burn
Nili jam akameza fist bump
Peanut butter minapenda blue band