Kwa Jet Ski na Bestie Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Twende indoors
Ju ma cops wana come joe
K.R.A ilisema na skumanga madoh
Ni mashilingi me hudai , me huzi line kama coke
Hi story ni ya Lamar bros wangu jo wa far
Kwenye kichwa ni mashilingi
Si hupenda tu madoh, mabob, mabob
Si hu trap a lot
Napenda when you call me, ju ya bob
Biz na ziline kama shot, nipe cross
Ukipatana na mpoa, saka info ya sister
Ju hujui siku gani utataka kutupa mirista
Keep it real bruh, then you'll see bruh
Big bunda shake it down, ata jipa
Keep it real bruh, my G's never give up
Si huskuma ounce tuliwachana na ma G-bag
Twende indoors
Ju ma cops wana come joe
K.R.A ilisema na skumanga madoh
Ni mashilingi me hudai , me huzi line kama coke
Hi story ni ya Lamar bros wangu jo wa far
Kwenye kichwa ni mashilingi
Si hupenda tu madoh, mabob, mabob
Si hu trap a lot
Nipe pin washa woza tu transact, can't redeem
Tuki spark kwenye gari, me ndio plug I insist
When I ignite
Brainpower ni a horse
Ju si ndo ma local boss
Niko kwenye jetski na my bestie
Outside you know we keep it friendly
I can't lie, other girls can be tempting
That's why I hit a lick to keep it light from repenting
Twende indoors,
Bros I have the info
Tuko rooftop,
Pass hio spliff though
Twende indoors,
My bros I've got the info
Pass hio spliff though
Twende indoors
Twende indoors
Ju ma cops wana come joe
K.R.A ilisema na skumanga madoh
Ni mashilingi me hudai , me huzi line kama coke
Hi story ni ya Lamar bros wangu jo wa far
Kwenye kichwa ni mashilingi
Si hupenda tu madoh, mabob, mabob
Si hu trap a lot