Sitakuacha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sitakuacha - Dr. Ipyana
...
1.ninakuabudu Yesu
natukuza jina lako
wewe ni kila kitu kwangu
nionyeshe sura yako
nikujue zaidi bwana
sitakuacha (sitakuacha)
chorus
umenionyesha ( umenionyesha wema wako)
sitakuacha (sitakuacha)
sitakuacha (sitakuacha)
umenionyesha (umenionyesha wema wako)
2.we mzaa wa siku
alpha Omega
mwanzo na mwisho wa imani yetu
ulikuwapo upo itakuwapo
sitakuacha sitakuacha
(chorus)