Mwema Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Maana wewe Bwana (Umwema)
Maana wewe Yesu (umwema)
Maana wewe Bwana (umwema)
Maana wewe Yesu (umwema)
Tangu tumboni mwa mama ulinijuaaaa aah
Tangu kwenye utoto wangu ulinijuaaaa aah
Hata ukuaji wangu unaujuaaaa aah
Eeh Bwana na mapito yangu unayajuaaa aah
Eeh umenipa kibali
Kibali
Nikutumikiee Nikuabuduuu
Eeh umenipa kibali
Kibali
Nikujue wewee Nikutukuzee
Maana wewe Bwana (Umwema)
Maana wewe Yesu (umwema)
Maana wewe Bwana (umwema)
Maana wewe Yesu (umwema)
Wanibariki Yeeh (Wanibarikiiii)
Wanipa Riziki Yeeh (Wanipa Rizikiii)
Wanithamini Yeeh (Wanithaminiiii)
Wanipa Ulinzi Yeeh (Wanipa Ulinziiii)
Imani yangu ni wewe
Mfalme wa Wafalme ni wewe
Tumaini langu ni wewe
Ni wewe
Ni wewe
Mtenda Miujiza ni wewe
Dunia yote ni wewe
Bwana Yesu pekee ni wewe
Ni wewe
Ni wewe
Hio jana yangu leo yangu kesho yangu
Wanipa
Uhodari wangu Udhaifu wangu
Bwana we Wajuaaaa
Maana wewe Bwana (umwema)
Maana wewe Yesu (umwema)
Maana wewe Bwana (umwema)
Maana wewe Yesu (umwema)
Wanibariki Yeeh (Wanibarikiiii)
Wanipa Riziki Yeeh (Wanipa Rizikiii)
Wanithamini Yeeh (Wanithaminiiii)
Wanipa Ulinzi Yeeh (Wanipa Ulinziiii)