Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2023

Lyrics

Babu G iiiiiih iiiih

Na shoroboy iiih yeeah

Jua limechomoza asubuhi sielewi

Najaribu mara mbili kutafakari

Naona bora nisake dooo

Nipate uhakika aah aah

Pilika za mjini pisi na maskali

Yeeah

Ukisikia kumekucha ujue

Kimenuka wazee

Kumekucha aah aaaaah

Kimenuka aiseee

Kumekucha aah aaaaah

Yes

Kimenuka tena

Yeeeeye uuh aah

....

Njia moja tunapita hustling za maisha

Ugumu wa maisha

Jiwekee uhakika ipo siku yatakwisha

Yatabadilika

Njia moja tunapita hustling za maisha

Ugumu wa maisha

Jiwekee uhakika ipo siku yatakwisha

Yatabadilika

Yatakwisha yeeeh

Yatabadilika aah

Yatakwisha yeeeh

Yatabadilka aah aaaah

.....

Underground komaa mwanzo mgumu

Hata kama unaona safari ni ndefu

Shika ulicho nacho kwa uchungu

Kila jambo mtangulize Mungu

Ata mbuyu ulianza ka mchicha

Mdogo mdogo ndio mwendo kupambana

Maana ukiona mishe haziendi

Ujue siku zinaenda hazisimami

Wapambanaji piga kazi

Kidogo ulicho nacho ni mtaji

Mungu ni mpaji

Kipaji ulicho nacho ni zawadi

Tena zaidi ya zawadi

Ya maua valentine day

Wengi wanakesha studio ili kupata riziki

Yaani usipokaza ngumu kutoboa kwenye beat

Uhakika kujua kipawa au kipaji

Maana maisha siku hizi mtaani no formula

Kwa hiyo usishangae aliesoma

Nae kushindwa kutumia MAGAZIJUTO kwenye maisha

Amini, kua , ishi ndoto yako

Ulioplan ukiwa mdogo

Ukijua mpambanaji haogopi msoto

Leo Mr.Kigoma nakiwasha na BABU_G kwenye studio

Keen!!!!!

...

Njia moja tunapita hustling za maisha

Ugumu wa maisha

Jiwekee uhakika ipo siku yatakwisha yatabadilika

Njia moja tunapita hustling za maisha

Ugumu wa maisha

Jiwekee uhakika ipo siku yatakwisha yatabadilika

Yatakwisha yeh

Yatabadilika aaah

Yatakwisha yeeeeh

Yatabadilika aaah

....

Yeah nothing good things come easy in the world

On top

....

Tunda Records

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status