Mziki (feat. King Amazon) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
MUZIKI
VERSE 01
Muziki kipaji, muziki ni damu, muziki idea, muziki ubunifu
Muziki ulio bora ukipigwa mtiti
Muziki slow source usingizi
Ukipigwa utahic usingizi
Naleta muziki hatari kwa wote wabishi
Waliotayari kusikia muziki hatari
Kwa kiki za beat,kwa beat za kiki
Napita kwa beat za kiki kwa kiki za beat
Nakunywa na juice
Siwazi matatizo, changamoto za maisha
Nikiwa kwa muziki
Maana muziki unafanya tusahau shida zote za maisha
Kwa muda mfupi
Muziki kila kona hatari (hatari)
Watu wanapata vitamini muziki
Mlevi anapata stamina akisikia muziki
Club ukipigwa wahuni hawakai
Kwa gari unaweza kupigwa vikali
Mpaka ukaleta ajari (ajari)
Vibe kali yaani muziki wa kweli
Ukipigwa mabeat makali haulali (haulali)
Stress zote zinaondoka uzipati
Kwa party unaparty mpaka unaenjoy
Disco halinogi bila muziki mkali
Nikiwa kwa party naparty muziki unakita (unikuta)×3 unitoi
BRIDGE
Full punchline full flow
No bebe no dow
Tunaparty daily tukipata dow
CHOROUS
Muziki mkali tunapanda bei (yeeye)
Muziki mnene tukipita mtaani (yeeye)
Na watu wanasogea kulisten (yeeye)
Nasi busy tunawasha vibe
Hatuwashi feni
Tunawasha vibe
Hatuwashi feni
Tunawasha vibe
Hatuwashi feni
(Muziki)×3 (Muziki)×3 unakiki kitaa
(Muziki)×3 (Muziki)×3 unakiki kitaa
owe owe unakiki kitaa
owe owe
VERSE 02
Starehe sherehe bila muziki hazinogi
Safari ndefu bila muziki hutoboi
Wasanii wanaimba muziki,kwa hisani ya muziki
Madancer wanadance kwa sababu ya muziki
Ni Soo,kwa soka unaleta burudani
Kanisani muziki unafanya waumini waingie uweponi
Kusali bidii jamii ikipata elimu kwa wasanii
Bora wa muziki bora
Wanaotoa elimu kwa jamii bora
Haraka kuelewa
Najiamin mtaani kwa sababu ya muziki
Unanipa kibali cha kuringa na mistari marukuki
Natamba kama nimeshika bunduki
Jambazi gani sugu nimtoe Nduki
Maana uwezo ninao na nguvu ninazo
Yaani niko fit kali-fit
Kwa muziki unavyo bounce kwa gigger
Na pia manigger nawasha moto tena hauzimii
Kama shambani nikishika jembe sigeuki
Nyuma nasonga kwa sababu niko fit-kali-fit na muziki
Kazi nyingi nikifanya best angu muziki
Nikiwa napika pembeni muziki haukosi
Na siku haiwezi kupita me bila kusikia muziki
Naweza kupita kitaani, nikisikia mzk naahirisha safari
Maana muzi-kichochezi hatari, halisi,asili,jasiri
Kazini kwa wingi
BRIDGE
Full punchline full flow
No bebe no dow
Tunaparty daily tukipata dow
CHOROUS
Muziki mkali tunapanda bei (yeeye)
Muziki mnene tukipita mtaani (yeeye)
Na watu wanasogea kulisten (yeeye)
Nasi busy tunawasha vibe
Hatuwashi feni
Tunawasha vibe
Hatuwashi feni
Tunawasha vibe
Hatuwashi feni
(Muziki)×3 (Muziki)×3 unakiki kitaa
(Muziki)×3 (Muziki)×3 unakiki kitaa
owe owe unakiki kitaa
owe owe